Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Ni nani huyo?? Btw walio ndani ya mchezo ndiyo wanaojua ukweli wa mambo, wengine tutaishia kuguess tu!!!
Huyo ni Donald Rumsfield aliyekuwa Waziri Wa Ulinzi katika Utawala wa George Bush.

Kama The Hague ingekuwa inafanya kazi kwa watu wa Magharibi huyu na Bosi wake walitakiwa wawe wanajibu Mashtaka ya Uhalifu dhidi ya Binadamu.
 
Mkuu umeanza kukopi story za humu humu jf?...hii simulizi ilikuwepo kule jf Intel. kitambo sana.
 
Bujibuji mbona stori hiyo tayari ipo hapa JF? Search GERANIMO EKIA
 
Asante kwa marudio ya story ,lakini hii story ilishaletwa na hapa jamvini na The bold ,mimi niliisoma last week.
 
NIMEKOPI kuipeleka fb ila nafasi ya fb na whatsapp hazitoshi nmeshindwa kukopi
 
Back
Top Bottom