Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

yakhe na mie uwe unanitag walah vile.......kushukuru kwa uhondo bahashishi ntuvula yakhe! story tamu mnoo
 
Nashan huyu alqaitan ni yule kijana wa Pemba aliyeshiriki pia kwenye USA embassy bombing in dar
 

mimi naamin jamaa alijifia siku nyingi sema waliowakamata ni wafuasi tu ndio mana hawakumuonesha kwetu.......

usa wasimwoneshe osama??? thubutu
 
napenda sana bandiko zako lakini naomba kuuliza kwenye movie inaonekana polisi walifika eneo la tkio kabla wanajeshi hawajaondoka na wakajitambulisha kwao je hii ina ukweli wowote?
 
Aisee nilikuwa nairukaga kumbe iko very interested namna hii. Dah wenzetu wako mbali sana katika maswala ya ulinzi na usalama. Vyombo vingi vya usalama na kila kimoja kina jukumu lake. Bado jeshi pia limegawanyika kutokana na specified missions.
Salute US
 
napenda sana bandiko zako lakini naomba kuuliza kwenye movie inaonekana polisi walifika eneo la tkio kabla wanajeshi hawajaondoka na wakajitambulisha kwao je hii ina ukweli wowote?
Hapana hakuna ukweli Mkuu! Wanajeshi walulikuwa wameondoka masaa kadhaa ndipo polisi wakafika, actually wa kwanza kufika alikuwa polisi mmoja local anaishi mtaa huo huo ndiye akawapigia wenzake, na kulikuwa kumeshapambazuka wakati wamarekani wao waliondoka toka usiku wa manane
 
Aisee ndo uwe wa watu wawili tu?

Hapo kuna mengi yanapaswa kujiukiza kabla ya kukubalina na hoja yako.

Sent from my LG-D722 using JamiiForums mobile app
 
Daah kwa hali hii watanzania tutegemee kukua kifikra au kiuchumi watu kuwa na wivu kiasi hiki?

Yericko sijui una kasumba ipi aiseeThe bold wala hajasema kama hii story kasimulia yeye ilaalichosema ni kuwa ameitafsiri kutoka katika references tofauti inawezekana hata hyo vodeo unayosemea ya Martine ameitumia je sasa hapo shida iko wp?

Kingine ni kuwa hivi vitu vipo katika documentaries nyingi sana so unaweza kutumia moja na kuacha nyingine lakini hata hiyo uliyoiacha ikawa na contents zile zile kwakuwa ji stori zinazofanana so kipi kinakufanya ujekutoa maneno yako ya shombe?


Kweli wewe ni great thinker we mean?

Sent from my LG-D722 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada nina swali, ilikuwaje dada wa obama nae aishi marekani wakati kaka ake ni adui namba moja.?
 
Mtoa mada nina swali, ilikuwaje dada wa obama nae aishi marekani wakati kaka ake ni adui namba moja.?
Mkuu kaka mtu ndiye alikuwa gaidi na ndiye alikuwa anatafutwa marekani hawakuwa na tatizo na Dada yake na ndugu wengineo.. Yani mfano kukiwa na kijana mwizi kwenye familia huwezi kuhukumu familia yote ni wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…