Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
kweli mana hajatuelezea waliondoka vipi hasa baada ya kulipua ile helcopter moja, mana zile hazina ukubwa kivile kitu kinachosaidia kutotoa sauti. Pia hapo lazima kuwe na walinzi wa nje ya jengo, Mapambano ya hao hakuna! hata mbwa wa kuwakaribishaNimeipenda!! Ila haina source! Isijekuwa source ni Mr X wa Hollywood.
Shukrani..Asante kwa story tamu
Ss km hajakamatwa Osama mwenyewe yuko wapi, marekani walitoa wapi ujasiri wa kutangaza km wacngekua wamemkamata na pia kwnn baada ya kuuawa kwake Al Qaeda imedhoofu na hatuckii tena wakifanya mashambulizi km kipindi kile?Akamatwe wapi cinema ile
Shukrani..Pongezi xn br
Kabisa mkuu! Wenzetu wanaumiza akili zaidi na mikakati ya muda mrefu..Nimejifunza kuwa USA wana mipango ya mda mrefu pia hawakati tamaa mana chanzo cha kumpata Osama kilianza mwaka 2001 ila wakampata 2011 waswahili husema "mtaftaji hachoki, akichoka ameshapata"
Mkuu ni saa ngapi inasimuliwa niifuatilie?Mkuu the bold,hii story yako ya Osama kuna kipindi cha redio(wikend breakfast ktk East africa redio ) wanasimulia wameipa jina la UNFORGETABLE MOMENT leo wapo ktk sehemu ya nne wameanzia kuelezea chanjo feki,jumapili ijayo wanaelezea kuhusu uvamiz ktk nyumba ya siri ya osama.