Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

Nimeipenda!! Ila haina source! Isijekuwa source ni Mr X wa Hollywood.
kweli mana hajatuelezea waliondoka vipi hasa baada ya kulipua ile helcopter moja, mana zile hazina ukubwa kivile kitu kinachosaidia kutotoa sauti. Pia hapo lazima kuwe na walinzi wa nje ya jengo, Mapambano ya hao hakuna! hata mbwa wa kuwakaribisha
 
MIE NITAANDAA MOVIE YA KUCHEZA KISA HIKI, SIJUI JESHI LETU wataniruhusu nitumie vifaa vyao na wasanii wangu kama vile akina commando John wa kule Hollywood wanavyotumia vifaa vya USA force. Watakaopenda kushiriki na wana uwezo wanitaarifu, lakini kwanza mazoezi ya kijeshi yatakuwepo na hasa tukipata kibari...
 
Akamatwe wapi cinema ile
Ss km hajakamatwa Osama mwenyewe yuko wapi, marekani walitoa wapi ujasiri wa kutangaza km wacngekua wamemkamata na pia kwnn baada ya kuuawa kwake Al Qaeda imedhoofu na hatuckii tena wakifanya mashambulizi km kipindi kile?
 
Story nzuri inatukumbusha matukio makubwa duniani zaidi imeboreshwa hapo kwa huyo kijana aliyejiita muwindaji
 
Laiti angeliuawa mikononi mwa SEAL basi wasingelimtupa like that.Wangempeleka Amerika kwa kumbukumbu .Ama hata kupelekewa Obama
 
Nimejifunza kuwa USA wana mipango ya mda mrefu pia hawakati tamaa mana chanzo cha kumpata Osama kilianza mwaka 2001 ila wakampata 2011 waswahili husema "mtaftaji hachoki, akichoka ameshapata"
 
Nimejifunza kuwa USA wana mipango ya mda mrefu pia hawakati tamaa mana chanzo cha kumpata Osama kilianza mwaka 2001 ila wakampata 2011 waswahili husema "mtaftaji hachoki, akichoka ameshapata"
Kabisa mkuu! Wenzetu wanaumiza akili zaidi na mikakati ya muda mrefu..
 
Leo usiku huu nimeona hii movie yenye hii story na sasa ndo inakwisha,inaitwa CODE NAME GERONIMO.imeonyeshwa ktk chanel moja ya M movies Action DSTV
 
Mkuu the bold,hii story yako ya Osama kuna kipindi cha redio(wikend breakfast ktk East africa redio ) wanasimulia wameipa jina la UNFORGETABLE MOMENT leo wapo ktk sehemu ya nne wameanzia kuelezea chanjo feki,jumapili ijayo wanaelezea kuhusu uvamiz ktk nyumba ya siri ya osama.
 
nimejaribu kulinganisha matamshi ya presenter na maandishi yako yapo sawasawa,inaelekea anasoma sehemu
 
Mkuu the bold,hii story yako ya Osama kuna kipindi cha redio(wikend breakfast ktk East africa redio ) wanasimulia wameipa jina la UNFORGETABLE MOMENT leo wapo ktk sehemu ya nne wameanzia kuelezea chanjo feki,jumapili ijayo wanaelezea kuhusu uvamiz ktk nyumba ya siri ya osama.
Mkuu ni saa ngapi inasimuliwa niifuatilie?
 
Back
Top Bottom