FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] congrats
Respect [emoji119]GEREZA LA HAZWA [emoji1666][emoji1666][emoji91][emoji91] AHSANTE SANA MKUU
Nimeyapokea maua yangu mkuu[emoji120]
Huu ni uzi bora ambao sijawahi kuusoma
Mkuu asante sana, huenda siku moja maandiko yetu yatafika huko[emoji120]KONGOLE KWAKO MTUNZI, HAKIKA UNASTAHILI PONGEZI KUBWA.
HII STORY IKIFIKA BOLLYWOOD KWA MOVIE DIRECTORS, UTAPIGA HELA MBAYA MBOVU.
PAMOJA SANA MKUU[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Asante sana[emoji120]Hongera sana mtunzi, unastahili pongezi,big up
Seriously, fanya mchakato mkuu. Kule Bollywood hii ni hela tena hela.Mkuu asante sana, huenda siku moja maandiko yetu yatafika huko[emoji120]
Hv hiyo kazi ya Gereza LA Hawa unaweza kuniuzia ikiwa ktk pdf?Asanteni sana kwa kuwa na mimi. Sasa tukutane kwenye simulizi ya INNOCENT KILLER (THE REVENGE) / MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)View attachment 2645046
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yes unaipata mkuu. Ni shilingi 5000.Hv hiyo kazi ya Gereza LA Hawa unaweza kuniuzia ikiwa ktk pdf?
Kama utauza itakua ni Tsh ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Seriously, fanya mchakato mkuu. Kule Bollywood hii ni hela tena hela.
Hollywood hawanaga story ya uhalisia kabisa, so hii WAHINDI watacheza nayo nje ndani.
Pia nanuna sehemu ya pili mkuu, Bin Zakaria aje kuwasha moto wake[emoji28][emoji28]
All the best mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nitajaribu kuufanyia kazi ushauri wako, huenda nikala mapene[emoji41]🤏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah.......na Jackish-kuku bhai.....Jack shroff ndo nani humo?All the best mkuu.
Namuona Tiger Shroff as Zakaria[emoji28][emoji28]
Mzee Mansour[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah.......na Jackish-kuku bhai.....Jack shroff ndo nani humo?
Hata Mimi sijajua tatizo ni nini yaani nimefika sehemu ya 27 imeruka mpaka 37.wakuu samahanini,natumai muwazima wa afya,mwenzenu nduguyenu ni mfuatiliaji wa hadithi za huyu mwamba mwandishi,nampongeza hadithi zako (hadithi zake) nzuri sana,mtunzi na mwandishi bora,
NINA CHANGAMOTO MOJA KUZISOMA MTIRIRIKO UNAKUA HAUPOSAWA INATOKA 20 INAENDA YA 40/70 hasa hii ya GEREZA LA HAZWA
naomba mnisaidienamna ya kuupata miririko vizuri ndugu zangu,asanteni