Gereza la Hazwa

Gereza la Hazwa

KONGOLE KWAKO MTUNZI, HAKIKA UNASTAHILI PONGEZI KUBWA.

HII STORY IKIFIKA BOLLYWOOD KWA MOVIE DIRECTORS, UTAPIGA HELA MBAYA MBOVU.

PAMOJA SANA MKUU[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
KONGOLE KWAKO MTUNZI, HAKIKA UNASTAHILI PONGEZI KUBWA.

HII STORY IKIFIKA BOLLYWOOD KWA MOVIE DIRECTORS, UTAPIGA HELA MBAYA MBOVU.

PAMOJA SANA MKUU[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Mkuu asante sana, huenda siku moja maandiko yetu yatafika huko[emoji120]
 
Mkuu asante sana, huenda siku moja maandiko yetu yatafika huko[emoji120]
Seriously, fanya mchakato mkuu. Kule Bollywood hii ni hela tena hela.

Hollywood hawanaga story ya uhalisia kabisa, so hii WAHINDI watacheza nayo nje ndani.

Pia nanusa sehemu ya pili mkuu, Bin Zakaria aje kuwasha moto wake[emoji28][emoji28]
 
Seriously, fanya mchakato mkuu. Kule Bollywood hii ni hela tena hela.

Hollywood hawanaga story ya uhalisia kabisa, so hii WAHINDI watacheza nayo nje ndani.

Pia nanuna sehemu ya pili mkuu, Bin Zakaria aje kuwasha moto wake[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu nitajaribu kuufanyia kazi ushauri wako, huenda nikala mapene[emoji41]🤏
 
Hii ni simulizi ya kijasusi.....ambayo inamhusu kijana mmoja aliyepatwa kuitwa Jason.

Kijana huyu alikuwa ni mdogo wa jaji mkuu wa nchi ya Tanzania. Ambaye alikuwa akisoma ndani ya nchi ya Marekani.

Alikuwa kijana wa kawaida sana kwenye macho ya watu, ambapo alikuwa na mpenzi wake waliyekuwa wakisoma wote.

Mpenzi wake huyo alikuwa ni Agenti wa CIA bila kijana huyo kujua.

Kisa kinaanzia wapi?

Raisi wa nchi ya Tanzania anapigwa risasi tano za kichwa akiwa Tiptop darajani kwenye msafara wake usiku. Kesi hiyo inaangukia kwenye mkono wa jaji mkuu, ambaye alikuwa ni rafiki wa karibu wa raisi, anaapa kumuua aliye husika mbele ya mahakama.

Jaji huyo usiku mmoja kabla ya hukumu anapewa onyo kwenye simu kwamba aupindishe ukweli siku ya hukumu....

Siku ya HUKUMU.
Anamsomea hukumu ya kunyongwa mhusika ambaye ananyongwa mbele ya mahakama. Baada ya kutekeleza hilo anapokea simu ya kumpa dakika 15 tu za kuiokoa familia yake.

Anakimbia na kufika nyumbani anakuta mkewe amechomwa kisu cha tumbo akiwa mjamzito huku mwanae wa kike akiwa ameuliwa.

Anpiga simu kwa mdogo wake kumpa taarifa lakini naye anatokewa na mtu na kuuliwa huku akiwa amefanikiwa kumtamkia mdogo wake kwamba....."THEY HAVE KILLED YOUR BROTHER" (Wamemuua kaka yako).

Mauaji anayofanyiwa yanafanana na namna raisi alivyo uliwa, sasa kama mtuhumiwa alinyongwa vipi mauaji yawe yale yale kama ya raisi? maana yake muuaji hakufa? INAZALIWA SINTOFAHAMU.

Kijana huyo kwa uchungu anarudi kumzika kaka yake na mheshimiwa raisi wa nchi yake ambaye walijuana vyema kwa mengi yaliyokuwa yamejificha nyuma.

Siku kadhaa baada ya msiba, watu wanakutana na tangazo ambalo linawataka wahusika wa mauaji ya jaji mkuu na raisi wajitokeze ndani ya miezi sita, kisha waombe msamaha kwa jamii atawaacha hai..kama muda huo utaisha bila wao kufanya hivyo basi huyo mtu atafanya anavyotaka yeye..

Hapo ndipo tunaenda kumfunua huyo Jason na kumjua yeye ni nani baada ya kuanza kufanya mauaji ya kutisha.

Inaitwa: MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)

Softcopy yake inapatikana kwa shilingi 4000 tu.

0621567672 (WhatsApp)
FB_IMG_1686457206350.jpg
 
wakuu samahanini,natumai muwazima wa afya,mwenzenu nduguyenu ni mfuatiliaji wa hadithi za huyu mwamba mwandishi,nampongeza hadithi zako (hadithi zake) nzuri sana,mtunzi na mwandishi bora,
NINA CHANGAMOTO MOJA KUZISOMA MTIRIRIKO UNAKUA HAUPOSAWA INATOKA 20 INAENDA YA 40/70 hasa hii ya GEREZA LA HAZWA
naomba mnisaidienamna ya kuupata miririko vizuri ndugu zangu,asanteni
 
Hata Mimi sijajua tatizo ni nini yaani nimefika sehemu ya 27 imeruka mpaka 37.
Nimemaliza 37 imekuja sehemu ya 42 yaani "inarukaruka" kama chura wa shilole[emoji848]

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Habarini ndugu zangu? Hope mko poa.

Jambo jema ni kwamba mwezi wa 9 tutakuwa na hardcopy/ nakala ngumu ya kitabu cha GEREZA LA HAZWA.

NITATOA TAARIFA MAPEMA KABISA.

Nawatakieni asubuhi njema.
FB_IMG_1693195898337.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom