Povu litakuua, au basi nahisi una njaa hujanywa hata chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Badala ya mimi kukujibu maswali yako ya kipuuzi inabidi wewe ndo uchukue mda wako kujua yafuatayo, ambayo ukiyafahamu basi na majibu ya maswali yako hayatakusumbua!
SGR Inajengwa kwa phase ngapi?
Kila phase inaanzia wapi hadi wapi na umbali wake.
Pesa ya ndani itatumika kiasi gani, phase ipi?
Pesa ya mkopo inategemewa kuwa kiasi gani,
Ukijua haya ni dhahili hata maswali yako ya ovyo hapo juu utajijibu kirahisi kabisa!
Ila nasisitiza tena, badala ya kuwa jeuri, kuwa mpole uombe msaada tukusaidie!