German Chancellor Angela Merkel Invite Uhuru Kenyatta to Address G20 next month in Berlin

German Chancellor Angela Merkel Invite Uhuru Kenyatta to Address G20 next month in Berlin

msaada? I think you are not aware how msaada works....it comes from the more developed country to the least developed one..in this case, it should be from Kenya to LDC Tz
Huwa huna hoja, zaidi ya kuwa obsessed na neno LDC!
 
Povu litakuua, au basi nahisi una njaa hujanywa hata chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Badala ya mimi kukujibu maswali yako ya kipuuzi inabidi wewe ndo uchukue mda wako kujua yafuatayo, ambayo ukiyafahamu basi na majibu ya maswali yako hayatakusumbua!

SGR Inajengwa kwa phase ngapi?
Kila phase inaanzia wapi hadi wapi na umbali wake.
Pesa ya ndani itatumika kiasi gani, phase ipi?
Pesa ya mkopo inategemewa kuwa kiasi gani,

Ukijua haya ni dhahili hata maswali yako ya ovyo hapo juu utajijibu kirahisi kabisa!

Ila nasisitiza tena, badala ya kuwa jeuri, kuwa mpole uombe msaada tukusaidie!
Mmejenga kilomita ngapi za SGR?
 
Nilikwambia badala ya kukazana kuuliza hivi vijiswali uombe msaada tukufafanulie! Kuhoji usichojua haitakusaidia!
Kijana. Enda ulale kwanza. Ongea nami mkijenga kilomita Moja tu! ya imaginary SGR [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
One road, one belt forum haikuwaalika Kenya na Ethiopia pekee acha ushamba Tanzania tumepata viwanda na soko la mihogo kwenye hiyo forum na waziri wetu alikua huko.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
pole kama ime kuuma...😀😀😀but sorry to burst ur bubble, Tz is a member of the LDC club...😀😀😀yaani pamoja na somalia, south sidan, na nchi zingine maskini kwel kwel...LDC😛😛😛😛
Yet you ar enjoying yourself in what you call LDC platform! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kijana. Enda ulale kwanza. Ongea nami mkijenga kilomita Moja tu! ya imaginary SGR [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umri wangu nalingana na baba yako bwana mdogo, uwe na adabu!

Ndo maana unakomaa kwa mambo usojua hata yakoje!
 
Hoja zimeisha, huu upupu wako peleka Kenya talk sio hapa
Nimekuuliza mmejenga mita ngapi za SGR ama mmepata pesa ngapi za kufadhili mradi huu na umeshindwa kujibu kwa sababu hujui kazi no kupiga kelele hapa JF kwa miradi isiyoexist
 
Pipeline pipeline pipeline pipeline pipeline why are so sticky  😀😀😛😛😀
 
Wameona Kenya ni Shamba la bibi. Wakenya kwa kupenda kupanda ndege hutowaweza. Hapo wanaona ujiko mkubwa sana.
Juu tuna Mandege Kwa ma Elfu
Sio KQ
sio Jumbo jet
Sio Fly 540
Sio KAF
SIO KP
Sio Private Jets
Sio private Helicopters
Sio Drones

Nyinyi hata Airline iliwashinda
 
Nimekuuliza mmejenga mita ngapi za SGR ama mmepata pesa ngapi za kufadhili mradi huu na umeshindwa kujibu kwa sababu hujui kazi no kupiga kelele hapa JF kwa miradi isiyoexist
Wewe nimekwambia uombe kufafanuliwa hutaki kuelewa kwa jinsi ulivyo kichwa ngumu, sasa ntajibu mtu asiyejua atajuaje kama nimejibu kweli au uongo!


Narudia tena omba ueleweshwe kijana, hujui lolote kuhusu tz zaidi ya kuelekezwa hapa JF ambapo imekuja kuuza sura!
 
This thread was about Uhuru na G20, Tanzania na Ldc zinadominate kwa nini?
 
Back
Top Bottom