Dunia nzima Tanzania inajulikana kwa kuwa na watu polite, friendly na wenye kupendana wenyewe kwa wenyewe, wakati Kenya inajulikana kama Taifa la manyang'au, hata ninyi wakenya mnalijua hilo, hata google inatambua hilo kwamba ninyi ni watu katili sana na wenye roho mbaya, kiteto cha kutoa roho ya mtu kwenu ni kama kuvuta sigara, hapo Nairobi kila siku watu watano wanauliwa, crime rate mnawazidi hadi South Africa.
Any way, katika hili tunawaomba msamaha kama wakenya wote, hatuwezi kuifikia familia ya huyu marehumu, ila itoshe tu kuonyesha kwamba tupo pamoja na familia ya huyu mwendazake, na tunalaani kwa nguvu zote kitendo cha kinyang'au alichokifanya huyu chizi.