Kama kawa chama halijaniangusha, ila hofu yangu tu ureno asilipize kisasi cha 2004, n fainal kama kawa poga matuidi, kante ngolo asihusike kuwapa nafasi kina pogba, ila kama akitaka aanzw na ngolo kante kwa kuhold team basi bora amtoe kafara kati ya pogba au matuidi.. Ni sumu kuchezesha pogba kulia, matuidi kushoto..
Nakosa maneno halisi ya kumzngumzia griezmann, anafanya vitu vigumu kuwa rahisi, sijui siri ya mguu wa kushoto ni nini hasa kwenye boli. Kasoro giroud tu. Wenger alimkosa kizembe sasa hiv ni moto wa kuotea mbali.. Baada ya hizi tuzo kuisha ufalme wa messi na ronaldo namtabiria zake 2.
Good game, kati ya tofauti nying za wachezaj wa kizungu n wa kiafrika, wazungu kwenye timu ya taifa kama wamekunywa supu ya bendera, soka analopiga ozil national team, sijawahi kuliona arsenal, soka la toni kroos usiku huu hata madrid hakichafui vile labda kroos wa bayern munich.. Pongezi na pole ziende kwa mashabiki wa ujeruman
Chama france tunasonga mbele