Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,923
HahahaHuu mchezo.....!
Toka nianze kuwa shabiki wa ujerumani nusu fainali kama ya tano hiv tuna tolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHuu mchezo.....!
Funga kabisa hayo Majerumani yarudi kwao.
Kwanza ni mabaguzi ya rangi.
Hahahaa
Kaniboa kweli mkuu
Inaonyesha huwapendi kabisa kutoka rohoni
Kabisani furahaa saaana natumaini wabongo wengi walikua wanaiombea dua Fance
Mkuu hujakosea burudaaaniiiini furahaa saaana natumaini wabongo wengi walikua wanaiombea dua Fance
yaani nikiona posts za hivi naumia vibaya mnoUreno njia nyeupe ya kuchukua ubingwa woyoooooooooooooooooooo Go Go Go Cr7
hahahahaha unakumbuka waliwafunga Marekani,Joachim low v/s Jürgen KlinsmannSafi sana...siwapendi kabisa mimi hao tokea waniumize moyo mwaka 2014.
yaani nikiona posts za hivi naumia vibaya mno