Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27



Story nzuri mkuu, ila angalau ungeelezea hio Black Panther ni nn maana ndio imebeba dhima nzima ya kubadili maisha ya huyu Mwamba Geronimo

Pia ndio ingetupa mwanga wa kujua kwann familia ya Pete (members wengine wa Black Panther) waliamua kuja kuishi Tz tena kijijini kabisa
 
Uzi mzuri sana mkuu,lakini umeshindwa kuelezea angalau kwa ufupi black panther ni nini, nadhan umuhimu wote wa Geronimo upo kwenye yeye kuwa leader wa hilo kundi.Kuwa Godfather wa Tupac nadhan haijatosha sisi kuona umuhimu wake.
Clinician, ahsante kwa ushauri wako. Nimeufanyia kazi. Nimeweka maelezo kidogo.
 
tyc, ahsante kwa ushauri. Nimejitahidi kufanya hivyo kwa ufupi sana.
 
Pia huyo Ibraa Da Hustler ulieye-qoute lyrics zake aliwahi kuwa adapted na hiyo familia na akawa anaishi nao kama Mtoto wao hapo Maji ya Chai ila ila Ibraa alishindwa kuendelea kuwa chini ya familia hiyo kutokana na tabia zake za kuku wa kienyeji asiyefugika jumatatu hadi jumatatu yupo kitaani harudi home.
 
Alifariki.. kwa tetesi inasemekana mke wake walikutana kwa madangulo. Ndoa ilivyoanza kuharibika.. alifariki mazingira ya kutatanisha.. mke alibaki na mali nyingi. Ila kwa sasa ni kama zimeishia ishia. Ndio ujue pesa na ndoto mtu anakufa nazo. Namfahamu huyu jamaa.. kwake nilishaenda sana. na mke wake namfahamu pia. Mke ni wa kutoka kilimanjaro
 
Huyo jamaa yuko wapi kwa sasa anafanya nini na anaishi wapi?
Alifariki.. kwa tetesi inasemekana mke wake walikutana kwa madangulo. Ndoa ilivyoanza kuharibika.. alifariki mazingira ya kutatanisha.. mke alibaki na mali nyingi. Ila kwa sasa ni kama zimeishia ishia. Ndio ujue pesa na ndoto mtu anakufa nazo. Namfahamu huyu jamaa.. kwake nilishaenda sana. na mke wake namfahamu pia. Mke ni wa kutoka kilimanjaro
 
ilikuwa bonge 1 la story! Hv ndo vitu Bongo Movie wangeweza kuandika Scripts kwa manufaa ya Historia.... wako busy na ngono tu
 
Uzi Mzuri sana ... hongera sana... japo sijaipata connection ya IBRA DA HUSTLER na Pratt... yote kwa yote ni madini tupu
 
J.Edgar Hoover
Mzee alikuwa katili sana kwa watu weusi.
Alimuua baba yake Malcom X,alimuua Malcom X,Luther King na wanaharakati kibao weusi.
I hated that old burger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…