mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawa siyo! Ni kweli ni viungo wazuri Sana lakini umemwacha aliye mzuri Sana kuliko hao watatu. Alikuwa anachezea Arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace anaitwa VIERA!!!Hawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Kumbe iniesta alimuita mtoto wake paul.Huyu ni iniesta..
Mpaka kocha anasema leo hatufanyi mazoezi bali tunaangalia video za scholes...View attachment 2191749
Tutolee ujinga wako hapa tunaongelea vitu vya maana ww unaleta utopoloMpaka Sasa Viera hajapata mpinzani kwenye nafasi ya kiungo EPL! Viera ni kiungo Bora wa muda wote epl Hadi Sasa! Alikuwa anakipiga arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace!
Wekeni na magoli yao na mchango wao wa vilabu na timu la taifa hapo tuanze sasaSijajua lampard hapo kakaje!
ScholesHawa ni miongoni mwa the best midfielders katika soccer kuwahi kutokea duniani.
Over the years kumekuwa na arguments zisizo isha nani ni bora kuliko mwingine.
So, bila ushabiki wa timu au mchezaji husika,
Yupi ni wa kwanza, yupi ni wa pili na yupi wa tatu katika ubora?
Utakuwa ni ushabiki maandazi Lampard kumzidi Scholes na Gerrard.1. Lampard
2. Scholes
3. Gerald
Acha wanaojua mpira wajadili mambo ya maana wewe unaweza kushabikia hata rede.Hawa siyo! Ni kweli ni viungo wazuri Sana lakini umemwacha aliye mzuri Sana kuliko hao watatu. Alikuwa anachezea Arsenal na kwa Sasa ni kocha wa Crystal Palace anaitwa VIERA!!!
Wanamjadili wasiyemjua.Sio Gerlard jamani ni Gerrard ππππ