Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali - Gerson Msigwa.
View: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1254614422504621/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Msigwa! Msigwa! Msigwa! Mungu anakuona! Ni nani ambaye amekuambia uzungumze uongo kiasi hiki? Kwanini unapotosha umma Kaka yangu!? Kwa faida ya nani!? Nimekusikiliza mara tatu bado sijakuelewa! Tanzania ipi unayozungumzia? Tanzania Bara au Tanzania Visiwani?