Gerson Msigwa acha kupotosha umma

Gerson Msigwa acha kupotosha umma

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali - Gerson Msigwa.

View: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1254614422504621/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Msigwa! Msigwa! Msigwa! Mungu anakuona! Ni nani ambaye amekuambia uzungumze uongo kiasi hiki? Kwanini unapotosha umma Kaka yangu!? Kwa faida ya nani!? Nimekusikiliza mara tatu bado sijakuelewa! Tanzania ipi unayozungumzia? Tanzania Bara au Tanzania Visiwani?
 
Hatari sana hiyo.Uongo tena?Siyo neno zuri.Aambiwe kwa kuremba maneno ie ameteleza ulimi.Ni "NCHI INAPAMBANA KUPATA UMEME WA UHAKIKA".
 
Tungekuwa tunaserikali inayojielewa huyu anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa taarifa isiyo kuwa na ukweli.

Washaona watanzania wote wajinga.
 
Mkuu hapa nilipo umeme hamna. Nimepak pikipiki angu kijiweni nachaj smu huku nikisoma uzi wako unayesema umeme upo wa ziada kabisa.
Nakukumbusha kariakoo umeme unakatika 18hrs wenyewe wanasema umeme wanazimiwa ili utumike kwenye tren ya sgr. Fuatilia hili

Sema serikali ina mpango wa kufunga engine za diesel kwenye ile tren ya umeme nahisi umeme itaacha kutumia umeme itatumia mafuta iwe gari moshi halafu umeme utarudishwa kariakoo.
 
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali - Gerson Msigwa.

View: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1254614422504621/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Msigwa! Msigwa! Msigwa! Mungu anakuona! Ni nani ambaye amekuambia uzungumze uongo kiasi hiki? Kwanini unapotosha umma Kaka yangu!? Kwa faida ya nani!? Nimekusikiliza mara tatu bado sijakuelewa! Tanzania ipi unayozungumzia? Tanzania Bara au Tanzania Visiwani?

Na usishangae ukakuta anasimama madhabahuni akipendekeza aombewe. Unabaki unajiuliza aombewe kuendelea kuhadaa umma!
 
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali - Gerson Msigwa.

View: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1254614422504621/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Msigwa! Msigwa! Msigwa! Mungu anakuona! Ni nani ambaye amekuambia uzungumze uongo kiasi hiki? Kwanini unapotosha umma Kaka yangu!? Kwa faida ya nani!? Nimekusikiliza mara tatu bado sijakuelewa! Tanzania ipi unayozungumzia? Tanzania Bara au Tanzania Visiwani?

Dunia ngumu hii
 
Mbona yupo sahihi, Capacity yetu ya uzalishaji umeme ni kweli imezidi mahitaji.
 
Tusaidie kufahamu vyanzo na kiasi kinachozalishwa, sio kinachotrajiwa.
Mitambo ya gesi ambayo imeshafungwa na ipo tayari kufanya kazi endapo itahitajika, mabwa ya maji mbali mbali, ikiwemo julius Nyerere, jumla ndio hizo 3400MW. Kwa sasa mashine nyingi zimezimwa/ hazijawashwa sababu umeme utazidi mahitaji..
 
Wakuu wa Nchi za Afrika) wanakuja kujifunza namna ambavyo nchi yetu imepiga hatua kubwa kwenye uzalishaji wa umeme, sasa hivi tunazalisha umeme ambao ni zaidi ya mahitaji yetu, uwezo wetu wa umeme kwenye gridi ya taifa ni Megawati 3,410 ni kiasi kikubwa cha umeme.." Msemaji Mkuu wa Serikali - Gerson Msigwa.

View: https://www.facebook.com/itvtz/videos/1254614422504621/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Msigwa! Msigwa! Msigwa! Mungu anakuona! Ni nani ambaye amekuambia uzungumze uongo kiasi hiki? Kwanini unapotosha umma Kaka yangu!? Kwa faida ya nani!? Nimekusikiliza mara tatu bado sijakuelewa! Tanzania ipi unayozungumzia? Tanzania Bara au Tanzania Visiwani?

Halafu yupo humu JamiiForums!
 
Back
Top Bottom