Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson

#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
IMG_20210828_114130.jpg
 
Naridhika na halotel buku mega
Ila Sasa network Ina down kila mara
 
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson

#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Hivi Msigwa anapotufananisha Tanzania na ulaya hajui kuwa hata yeye huko ulaya asingeweza kuipata kazi hiyo, huenda angeambulia UB40 ( paundi 40 malipo ya kutokuwa na ajira).
 
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson

#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Hapa Dubai GB 1 tunanunua dirham 36 sawa na usd 10 mtandao wa Advacomm
 
Malalamiko makubwa zaidi ni Tozo za Miamala..., tunapochanganya hiki na kile inaweza kuonekana watu ni walalamishi...

Ni nchi gani Serikali inachukua mapato zaidi hata ya mwekezaji / mmiliki ukizingatia mmiliki huyo amewekeza na analipa overheads (mishahara, promotion n.k.)
 
Nina uhakika Ulaya hakuna nchi wanayouziwa GB 1 kwa USD 10. Huu ni uongo. Ulaya wanakaribia kuiingiza huduma ya internet kama mojawapo ya haki za binadamu, kama yalivyo maji na afya. Kuna nchi zimepitisha sheria kuwa serikali itoe angalau GB 1 FREE kwa siku, za ziada ndiyo unalipia.

Nchi nyingi za Ulaya anayoisema Msigwa zina internet ya bure kabisa - free Internet. Kwa cheo chake, Gerson Msigwa hakupaswa kuongea mambo ya jumla jumla bila mifano au utafiti unaoweza kurejewa na kila mtu.
 
Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Ulaya Wana tumia WiFi freee, kuna rafiki yangu yupo Uingereza nili mwambia sina hela ya kununua GB haka shangaa Sana kasema kwao ni free mambo hawa lipii, halafu ulaya networks zao zina speed sana
 
"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson

#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Yes Msigwa kwa hili nitamtetea.... Ripoti ya worldbank juu ya FinTech inaonyesha kweli Tz ina unafuu wa bando kuliko mataifa mengi ya afrika mashariki na kati. Mfano tu pale UG nakumbuka MB 50 tuliuziwa kwa 500, GB moja iliuzwa elfu 5 na hii unatumia ndani ya saa moja tu!!

Na hili pia linapimwa kwa kutumia bando bila kujiunga pia.... Yaani ukiwasha daya bila kuwa na kifurushi utatumia MB nyingi kwa bei ndogo kuliko nchi nyingine zilizotuzunguka.
 
Jamaa ni mjinga. Ulaya hawana shida ya vyoo…walimu wanalipwa mafao on the spot, wafanyakazi wana mishahara minono. Unafanya comparison kwenye hakuna.
 
Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Nina rafiki yangu alikuwa South Africa, ananunua GB 1 kwa mwezi, tunaongea kwa whatsup mwanzo mwisho na hata video call. Hapa Bongo ukinunua hiyo GB1 pamoja na mtandao kusua sua, kwa hayo matumizi haimalizi wiki sijui tofauti ya GB ya South Africa na GB ya Tanzania ni ipi? LAKINI muhimu zaidi ni kuwa, uchumi wa South Africa huwezi kabisa kulinganisha na Tanzania.
Nikisikia mtu analinganisha bei ya bidhaa kwa Nchi tofauti tofauti bila kuongelea Nguvu ya Uchumi (purchasing power) ya Nchi husika naona kama kuna kitu anahitaji kuelekezwa
 
Nina uhakika Ulaya hakuna nchi wanayouziwa GB 1 kwa USD 10. Huu ni uongo. Ulaya wanakaribia kuiingiza huduma ya internet kwenye haki za binadamu, kama yalivyo maji na afya. Nchi nyingi zina free Internet
Ulaya ni free huyo msigwa hasituone wa Tanzania wote hatujui mambo ya duniani.
 
Nina uhakika Ulaya hakuna nchi wanayouziwa GB 1 kwa USD 10. Huu ni uongo. Ulaya wanakaribia kuiingiza huduma ya internet kwenye haki za binadamu, kama yalivyo maji na afya. Nchi nyingi zina free Internet
Atutajie hiyo nchi!
 
Hii ndio sawa na kumwambia mwananchi uchumi umekua halafu mwenzio hata uhakika wa mlo hana. Viongonzi wetu ni spices za ajabu sana wanapima hali za maisha kwa kujiangalia wao na familia zao. Sasa Tanzania ni moja ya nchi masikini Sana duniani alafu anafananisha na nchi zenye uchumi angalau
 
Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Kipato Cha mwananchi wa kawaida ni sawa kwetu pia?

Una elewa kuna watanzania wengi tu wanalipwa mshahara wa chini ya USD 50 kwa mwezi?!
 
Back
Top Bottom