Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako ipo sawa unapoona sawa kwa Msigwa kusema Bei ya Internet Tanzania ni nafuu kulinganisha na Nchi za Ulaya!?Yes Msigwa kwa hili nitamtetea.... Ripoti ya worldbank juu ya FinTech inaonyesha kweli Tz ina unafuu wa bando kuliko mataifa mengi ya afrika mashariki na kati. Mfano tu pale UG nakumbuka MB 50 tuliuziwa kwa 500, GB moja iliuzwa elfu 5 na hii unatumia ndani ya saa moja tu!!
Na hili pia linapimwa kwa kutumia bando bila kujiunga pia.... Yaani ukiwasha daya bila kuwa na kifurushi utatumia MB nyingi kwa bei ndogo kuliko nchi nyingine zilizotuzunguka.
Pumbavu zako wee! Tangu dikteta Magufuli akuibue kutoka Mfaranyaki unajiona siyo mngoni tena!"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Vipato ni sawa na huku?.Hapa Dubai GB 1 tunanunua dirham 36 sawa na usd 10 mtandao wa Advacomm
Mwongo mkubwa. Afrika Kusini ya wapi 1GB ni dola 10? Nimetoka Cape Town wiki hii. 1GB ni rand 149. Hii ni sawa na dola 149×0.0068 = 1.01.Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Has nothing to do with uchumi Einstein... Tueleze kwa nini 1 GB ya Ulaya inalingana na ya Tanzania?Unataka kufananisha uchumi wa south africa na tz
Nenda kanunue 1GB VODACOM South Africa MWAKA Jana kwanzaThe average price of 1GB of mobile data in SA is $2.67 (R39)
Aaah sawaNenda kanunue 1GB VODACOM South Africa MWAKA Jana kwanza
Nieleze kwa nini ya EU ni ya rahisi kama ya Tanzania?Mkuu,PPP inafanya kazi yake hapo.Msilete za kuleta.10USD ukiwa nayo hapa ni mshahara wa mtu kwa siku ila huko SA ni mshahara wa saa moja
Naomba kumtetea Msigwa, alichosema ni ukweli mtupu!.Kweli amelewa wake ndugu zake huko iringa na makete sijui kama wanamuelwa acha tu muda utaongea alipokuwa TBC huyu alikuwa choka mbaya Songea huko.....leo dhsrau na kibri
Has nothing to do with uchumi Einstein... Tueleze kwa nini 1 GB ya Ulaya inalingana na ya Tanzania?
Naomba kumtetea Msigwa, alichosema ni ukweli mtupu!.
Kuna baadhi ya vitu na huduma hapa Tanzania ni cheap kuliko sehemu nyingine, ila Watanzania wasio na exposure hali ikoje huko kwingimeko duniani, ni walalamishi sana, mpaka basi. Tanzania tuko kwenye mtangamano wa nchi za Africa Mashariki, mtangamano huo unakwenda stage kwa stage, utakapofikia stage ya free labour migration, mtaona jinsi Kenyans wanakuja kulamba most decent jobs. Tukifika stage ya monetary union and single currency, ndipo Watanzania mtagundua tulikuwa tumedekezwa sana by spoon fed.
Life will really be expensive
P
Mkuu wapi nmelinganisha na Ulaya?? Nmelinganisha na UG and other african countries.Akili yako ipo sawa unapoona sawa kwa Msigwa kusema Bei ya Internet Tanzania ni nafuu kulinganisha na Nchi za Ulaya!?
Unahisi Uchumi wa Tanzania ni sawa European countries?
Bei za GB moja /mwezi EU zinalingana na za Tanzania.unahakika gani kama zinalingana au kwasababu zote zinaitwa Gb 1?
Ndugu Msigwa! wewe siyo yule ambaye jamii kubwa ilikuona na kukujua. Nini kimekupata? You are so smart with the best IQ. Inashangaza kukuona unaanza kuji-toxify. Unasahau ulikotoka....mwenda tezi na omo marejeo ngamani."Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341