Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Hivi Msigwa anapotufananisha Tanzania na ulaya hajui kuwa hata yeye huko ulaya asingeweza kuipata kazi hiyo, huenda angeambulia UB40 ( paundi 40 malipo ya kutokuwa na ajira)."Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Hapa Dubai GB 1 tunanunua dirham 36 sawa na usd 10 mtandao wa Advacomm"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Ulaya Wana tumia WiFi freee, kuna rafiki yangu yupo Uingereza nili mwambia sina hela ya kununua GB haka shangaa Sana kasema kwao ni free mambo hawa lipii, halafu ulaya networks zao zina speed sanaMpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Yes Msigwa kwa hili nitamtetea.... Ripoti ya worldbank juu ya FinTech inaonyesha kweli Tz ina unafuu wa bando kuliko mataifa mengi ya afrika mashariki na kati. Mfano tu pale UG nakumbuka MB 50 tuliuziwa kwa 500, GB moja iliuzwa elfu 5 na hii unatumia ndani ya saa moja tu!!"Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson
#MsemajiWaSerikaliPress https://t.co/v8HsgP6tlm
View attachment 1912341
Nina rafiki yangu alikuwa South Africa, ananunua GB 1 kwa mwezi, tunaongea kwa whatsup mwanzo mwisho na hata video call. Hapa Bongo ukinunua hiyo GB1 pamoja na mtandao kusua sua, kwa hayo matumizi haimalizi wiki sijui tofauti ya GB ya South Africa na GB ya Tanzania ni ipi? LAKINI muhimu zaidi ni kuwa, uchumi wa South Africa huwezi kabisa kulinganisha na Tanzania.Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom
Ulaya ni free huyo msigwa hasituone wa Tanzania wote hatujui mambo ya duniani.Nina uhakika Ulaya hakuna nchi wanayouziwa GB 1 kwa USD 10. Huu ni uongo. Ulaya wanakaribia kuiingiza huduma ya internet kwenye haki za binadamu, kama yalivyo maji na afya. Nchi nyingi zina free Internet
Atutajie hiyo nchi!Nina uhakika Ulaya hakuna nchi wanayouziwa GB 1 kwa USD 10. Huu ni uongo. Ulaya wanakaribia kuiingiza huduma ya internet kwenye haki za binadamu, kama yalivyo maji na afya. Nchi nyingi zina free Internet
Kipato Cha mwananchi wa kawaida ni sawa kwetu pia?Mpaka mwaka jana 1GB Afrika Kusini ilikua USD 10 Vodacom