Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Sasa ndio wewe kumbe tushakujua,hiyo habari sikuwai hata kuisikia.unayemlalamikia pia nasikia ni punyenye.
Au mnagombea bwana nyie
 
Sufiani wewe na Shaka ni Watoto sio rizki
 
Oya zile Travota bado unazo? Niuzie boss[emoji16]
 
Mimi nadhani hili kamalizaneni vyumbani kwenu hayatuhusu
 
Ulikuwa wapi siku zote hadi uione hii leo? Mbona ilikuwa inazunguka sana mitandaoni hasa kule Twitter. Akuombe radhi hadharani na akulipe fidia kubwa tu. GANGAMARA kila la heri.
Kaka msigwa wa leo siyo wa kumuingia kichwa kichwa maana unaweza mlalamikaji ukawa mshitakiwa.
 
Kwani hasa anyetkiwa kuthibitisha taarifa zinazoandikwa gzetini ni nani?
Je ni Msomaji wa gazeti au
Ni mwaandishi au mmiliki wa gazeti?

Nilisikia Msigwa akisema " bila shaka ...."
 
Si uende mahakamani ndiko haki inapatikana,haya ni majungu, mwenyekiti wa CCM ataingiliaje mambo ya msemaji wa serikali.
 
Kule twitter alisema hatashtaki maana kashauriwa anyamaze kimya hii habari musiba aliandika kabla Maalim seif hajafariki tena akasema Zitto na Seif wanamgombania Suphiani yaani ni mke wao,muda wote jamaa akakausha kimya, ni ajabu kweli aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…