Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

Pole sana kwa hizi changamoto unazopitia. Kama kweli unaona umeonewa, basi uhakikishe unapigania haki yako mpaka mwisho.

Ombi langu kwako ni moja tu; Ujitahidi na wewe kupunguza umayai mayai! Mwanaume unatakiwa uwe jasiri. Sasa ona hata kwenye hii picha namna ulivyokaa! Yaani huoneshi kabisa kama una uwezo wa kupambana na huyo Kada mwenzako wa ccm Gerson Msigwa.
Kalegea mnooo aisee
 
Maana naona kavalia njuga badala ya kulaani lkn yeye amekuwa mtetezi
Unalaani kitu usicho na USHAHIDI nacho?!!!

Wewe umeshuhudia hayo matendo ya kishoga?!!!

Tunapoteza weledi wa mambo kana kwamba si member wa JF......
 
Unalaani kitu usicho na USHAHIDI nacho?!!!

Wewe umeshuhudia hayo matendo ya kishoga?!!!

Tunapoteza weledi wa mambo kana kwamba si member wa JF......
Hapa tunachangia mada iliyoletwa na muhusika.

Wewe unataka tufanye nini sasa?
 
Back
Top Bottom