mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
😐😐😐😐Kaambiwa ukweli, kwani ana kazi gani nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😐😐😐😐Kaambiwa ukweli, kwani ana kazi gani nyingine?
Kalegea mnooo aiseePole sana kwa hizi changamoto unazopitia. Kama kweli unaona umeonewa, basi uhakikishe unapigania haki yako mpaka mwisho.
Ombi langu kwako ni moja tu; Ujitahidi na wewe kupunguza umayai mayai! Mwanaume unatakiwa uwe jasiri. Sasa ona hata kwenye hii picha namna ulivyokaa! Yaani huoneshi kabisa kama una uwezo wa kupambana na huyo Kada mwenzako wa ccm Gerson Msigwa.
Matusi yako nimeyazoea Mmawia....Mbona unawashwa sana kwenye hili jambo?
Kama msemaji wa serikali amekiri mimi ni nani nibishe?Sasa unakataa kitu gani wakati wenyewe mnatangaza hadharani?
Hamna nachukia matusi tu...Naona unatetea ushoga
Maana naona kavalia njuga badala ya kulaani lkn yeye amekuwa mteteziHuwezi kujua labda ni miongoni mwao
Ndiyo hivyo tenaKalegea mnooo aisee
UVCCM yupi kajitangaza kuwa ni shoga?!!Sasa unakataa kitu gani wakati wenyewe mnatangaza hadharani?
Unabishana na msemaji mkuu wa serikali mwenye vyanzo vyote vya taarifa?😐😐😐😐
Unashindana na msemaji mkuu wa serikali ambaye ana vyanzo vyote vya taarifa?UVCCM yupi kajitangaza kuwa ni shoga?!!
UVCCM yupi kajitangaza kuwa ni mpiga mizinga?!!!Khaaa 😳😳
Ebu tuonyeshe matusi hayoHamna nachukia matusi tu...
Hao jamaa Professionalism ni ZERO.Matusi yako nimeyazoea Mmawia....
Ushoga unafanyika "sirini" nashangaa kukomalia kitu ambacho HUJAKISHUHUDIA....weledi uko wapi hapo?!!!
Unalaani kitu usicho na USHAHIDI nacho?!!!Maana naona kavalia njuga badala ya kulaani lkn yeye amekuwa mtetezi
🤣🤣Halafu wanajifanya ni "think tank" wa bavicha.....Hao jamaa Professionalism ni ZERO.
Hapa tunachangia mada iliyoletwa na muhusika.Unalaani kitu usicho na USHAHIDI nacho?!!!
Wewe umeshuhudia hayo matendo ya kishoga?!!!
Tunapoteza weledi wa mambo kana kwamba si member wa JF......
Matusi hayapendezi mkuuWewe inakuhusu nini?
Leo mmeumbuka kwa kuwa na tabia za hovyo kabisa[emoji1787][emoji1787]Halafu wanajifanya ni "think tank" wa bavicha.....
Taja hata tusi moja mkuu ambalo nimeandika? mm siyo kichaa mkuu najua nacho fanyaMatusi hayapendezi mkuu
Tufanye umeshinda...Ebu tuonyeshe matusi hayo
Haya sawa wacha tuendelee na hii mada matata ya uvccmTufanye umeshinda...