Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bashite mwenyewe anapumuliwa kisogoniKumbe we shoga, mbona Bashite alihangaika Sana kuwatafuta hukujipeleka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite mwenyewe anapumuliwa kisogoniKumbe we shoga, mbona Bashite alihangaika Sana kuwatafuta hukujipeleka?
Mfanyenji hata Mtendaji wa Kata atatulia kama mbwa mbwekaji aliyerushiwa mfupa
Njoo unifanyeNadhani uanze kufanywa kwanza wewe ili utulie maana ubwekaji wako kama mbwa kichaa[emoji57][emoji57]
Mimi nasimama na msemaji wa Serikali. UnanyukwaRAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi,
Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako wa Watanzania tangu uingie Ikulu miezi sita sasa. Kwa majina naitwa Suphian Juma Nkuwi, ni Mtanzania Mzaliwa wa Kijiji cha Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida.
Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi Taifa, kwa kuzingatia Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Katiba ya Chama cha Mapinduzi sehemu ya Kwanza, fungu la 4. Imani (1) Binadamu wote ni sawa (2) kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake;
Kwa masikitiko makubwa kupitia barua hii ya wazi napenda kuleta malalamiko yangu mbele ya ofisi yako takatifu kwamba Msaidizi wako, Gerson Msigwa ambaye kwa sasa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Septemba 18, 2021 akihojiwa na Mtangazaji katika kituo cha habari cha Star TV () alitamka kwamba habari iliyochapishwa ukurasa wa mbele, Aprili 20, 2019 na gazeti la Tanzanite iliyosomeka kwamba "SHOGA AWACHANGANYA ZITTO, MAALIM SEIF" kwamba ILITHIBITISHWA ndio maana gazeti hilo la ndugu Cyprian Musiba halikuwahi kufungiwa na Serikali.
Rais wangu, ndani ya habari hiyo mwathirika aliyetambulishwa kama 'shoga' kwa majina na picha ni mimi. Na kwa hakika haikuwa habari ya kweli kwani natambua mapenzi ya jinsia moja si tu ni kinyume na sheria zetu za Tanzania bali pia maadili na tamaduni zetu haziruhusu. Na mbaya zaidi gazeti hilo linalofahamika nchini kama 'bingwa' wa kuchafua VIONGOZI wa Chama, Serikali, wanasiasa na Wanaharakati halikuwahi kunitafuta kabla ya kutoa habari hiyo ovu kama alivyodai ndugu Msigwa.
Hivyo, kauli hiyo potofu kutoka kwa Kiongozi Mkubwa kabisa wa Serikali yetu si tu imezua tafrani mtandaoni bali pia hadi naandika barua hii kwako imeendelea kunidhalilisha na kuusigina Utu wangu mbele ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu na kuniharibia taswira yangu na hata majukumu yangu ya kila siku kama Mtanzania na Mwanasiasa mchanga mwenye ndoto ya kuijenga nchi yake kwa wivu mkubwa.
Kwa kuzingatia ofisi yako ni tegemewa kwa kutoa haki, naomba ndugu Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu hadharani, ili tu si kufuta kashfa hiyo kwangu bali pia kuondoa tafsiri potovu kwamba Ofisi yako tukufu na hata Chama chetu cha Mapinduzi kimempa nafasi nyeti mtu asiye makini na asiyeona aibu kutamka kauli za uwongo mbele ya umma. Vinginevyo, nitaomba ruhusa ya ofisi yako niendelee kutafuta haki yangu kwa njia zingine ikiwemo njia za kisheria.
Aidha, Rais wangu kabla ya kukuandikia barua hii ya wazi, naomba pia kukujulisha kwamba Octoba 1, 2021 nilishawahi kutuma barua ya malalamiko haya kwako dhidi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia barua pepe ya Ofisi ya Rais Ikulu press@ikulu.go.tz ambapo kwa barua hiyo niliambatanisha kopi ya gazeti la Tanzanite lililonichafua na kipande cha video cha ndugu Gerson Msigwa akibariki kashfa hiyo dhalilishi kupitia Star TV. Ingawa sikupatiwa mrejesho wowote wa barua pepe hiyo hadi naandika barua hii ya wazi kwako.
Natanguliza Samahani kwa usumbufu. Na natumaini ombi langu litafanyiwa kazi mapema. Nakutakia kazi njema Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
Raia wako mwema,
Suphian Juma,
Singida, Tanzania
Octoba 7, 2021.
Email: yessuphian@gmail.com
Phone: 0717027973
View attachment 1966980
Kama yule mweneziHawa vijana waliiwahi kuishi mombasa wanaliabisha taifa sana
Hata kiongozi wao piaKama yule mwenezi
Punguza povu jamaa yenu analiwaHivi ujinga utakutoka lini mkuu?!!
Kwa hiyo UVCCM sote hatufanyi kazi?!!
Unatulisha wewe?!!!
Mbona umehamaki sana au na wewe unatifuliwa? Mwache apambane na hali yake.Ushoga unafanyika hadharani?!!
Umetushuhudia tukifanywa hayo matendo?!!
Picha yako tu inaonyesha hata hausingiziwi ni either mpunga au mcheleRAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi,
Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako wa Watanzania tangu uingie Ikulu miezi sita sasa. Kwa majina naitwa Suphian Juma Nkuwi, ni Mtanzania Mzaliwa wa Kijiji cha Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida.
Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi Taifa, kwa kuzingatia Ibara ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Katiba ya Chama cha Mapinduzi sehemu ya Kwanza, fungu la 4. Imani (1) Binadamu wote ni sawa (2) kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake;
Kwa masikitiko makubwa kupitia barua hii ya wazi napenda kuleta malalamiko yangu mbele ya ofisi yako takatifu kwamba Msaidizi wako, Gerson Msigwa ambaye kwa sasa ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Septemba 18, 2021 akihojiwa na Mtangazaji katika kituo cha habari cha Star TV () alitamka kwamba habari iliyochapishwa ukurasa wa mbele, Aprili 20, 2019 na gazeti la Tanzanite iliyosomeka kwamba "SHOGA AWACHANGANYA ZITTO, MAALIM SEIF" kwamba ILITHIBITISHWA ndio maana gazeti hilo la ndugu Cyprian Musiba halikuwahi kufungiwa na Serikali.
Rais wangu, ndani ya habari hiyo mwathirika aliyetambulishwa kama 'shoga' kwa majina na picha ni mimi. Na kwa hakika haikuwa habari ya kweli kwani natambua mapenzi ya jinsia moja si tu ni kinyume na sheria zetu za Tanzania bali pia maadili na tamaduni zetu haziruhusu. Na mbaya zaidi gazeti hilo linalofahamika nchini kama 'bingwa' wa kuchafua VIONGOZI wa Chama, Serikali, wanasiasa na Wanaharakati halikuwahi kunitafuta kabla ya kutoa habari hiyo ovu kama alivyodai ndugu Msigwa.
Hivyo, kauli hiyo potofu kutoka kwa Kiongozi Mkubwa kabisa wa Serikali yetu si tu imezua tafrani mtandaoni bali pia hadi naandika barua hii kwako imeendelea kunidhalilisha na kuusigina Utu wangu mbele ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu na kuniharibia taswira yangu na hata majukumu yangu ya kila siku kama Mtanzania na Mwanasiasa mchanga mwenye ndoto ya kuijenga nchi yake kwa wivu mkubwa.
Kwa kuzingatia ofisi yako ni tegemewa kwa kutoa haki, naomba ndugu Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu hadharani, ili tu si kufuta kashfa hiyo kwangu bali pia kuondoa tafsiri potovu kwamba Ofisi yako tukufu na hata Chama chetu cha Mapinduzi kimempa nafasi nyeti mtu asiye makini na asiyeona aibu kutamka kauli za uwongo mbele ya umma. Vinginevyo, nitaomba ruhusa ya ofisi yako niendelee kutafuta haki yangu kwa njia zingine ikiwemo njia za kisheria.
Aidha, Rais wangu kabla ya kukuandikia barua hii ya wazi, naomba pia kukujulisha kwamba Octoba 1, 2021 nilishawahi kutuma barua ya malalamiko haya kwako dhidi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia barua pepe ya Ofisi ya Rais Ikulu press@ikulu.go.tz ambapo kwa barua hiyo niliambatanisha kopi ya gazeti la Tanzanite lililonichafua na kipande cha video cha ndugu Gerson Msigwa akibariki kashfa hiyo dhalilishi kupitia Star TV. Ingawa sikupatiwa mrejesho wowote wa barua pepe hiyo hadi naandika barua hii ya wazi kwako.
Natanguliza Samahani kwa usumbufu. Na natumaini ombi langu litafanyiwa kazi mapema. Nakutakia kazi njema Rais wangu na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyezi Mungu azidi kukutunza.
Raia wako mwema,
Suphian Juma,
Singida, Tanzania
Octoba 7, 2021.
Email: yessuphian@gmail.com
Phone: 0717027973
View attachment 1966980
Ndege wafananao huruka pamoja .Mbona unawashwa sana kwenye hili jambo?
Njoo unifanye
Wewe na Msemaji wa Serikali nani ana vyanzo vya uhakika vya taarifa sahihi? Msigwa kasema dogo ananyukwa na tunamuamini.Tabia za hovyo anaweza kuwa nazo yeyote kwani ubaya hauna kwao....
Nilitegemea utamshambulia mtoa hoja huku ukiwa na UTHIBITISHO WA HUO USHOGA WAKE....
Na wewe ni msukule wa ShakaYasingekuhusu usingeshabikia kizwazwa huku ukiwa huna ushahidi.....
Endelea kuwa msukure wa Mbowe....
Ana uhakika na alichosema Suphian hana marindaImeniuma kwelikweli....
Kwani hakuna mwenye HATIMILIKI ya kumchafua mwenzake hadharani.....
Msigwa ni msomi sikutegemea aongee vile....
Kwani kila swali wanaloulizwa wanahabari huwa wanajibu?!!!
Kwa nini unatetea ushoga????Sawa kama wewe ndiye "bwana wangu".....
Mkuu unajiabisha kwa MASHAMBULIZI yako yasiyo ya kiweledi.....
Shoga hastahili heshima.Duuuh[emoji15][emoji15][emoji15]
Sitetei tabia hizo mbaya...bali ninashutumu tabia ya hovyo ya kutoheshimiana kwa kuongea HADHARANI kashfa za AIBU NA FEDHEHA.......kwa yeyote afanyaye......
Haya umeshanidhalilisha basi furahisha nafsi yako mkuu....
Peace