carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Msigwa ni moja ya mshenzi aliyefanya watu wasiviamini vyombo vya habari ,sirikali inavibana sana vyombo vya habari visiwe huru na kuripoti vitu ambavyo hupangiwa na sirikali na hakuna mtu mwenye akili timamu anayependa kusikiliza na kuamini propaganda za vyombo vinavyoendeshwa na rimoti ya msigwa.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Wewe mwenyewe Greshon Msigwa umeshapoteza heshima yako. Wewe unaongea nini? Hivi una shida gani Msigwa?Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Umeandika kwa uchungu mkubwa sana mkuu kuhusu Pascal Mayalla hata Mimi kwa haraka haraka nilipoona mabadiliko yake nilijua kaingia kundi la hao unaowaita wapumbavu ila ukifanya utafiti ni kama Kuna namna anayakwepa matatizo isitoshe yeye ni mtu maarufu anajulikana anaweza kufikika kirahisi na wale majamaa wenye double kibini🖐️.Vyombo vya habari vinakua na wapumbavu kama pascal mayalla nani aviamini
Utafiti uanze kwanza na Yeye kwanini hana Akili.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Haķika kamà hilo nalo linahitaji utafiti Tanzanì hii tuwahi mirebe🤫🤔Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Hapana mkuu ..mimi sio Gunner na sio uhusiano wowote na mtu ambaye umemtaja hapocarbohydrates sio the gunner kweli ?
🤣🤣Watanganyika wote hawaangaliagi tena ITV habari saa 2 usiku