Gerson Msigwa :Ataka utafiti ufanyike kubaini kwa nini wananchi wanapoteza imani na vyombo vya Habari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.

Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.

Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.

Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Mbona sababu ziko wazi kama dish juu ya bati
 
Kwanini vyombo vya habari pekee? Mbona hajiulizi kuhusu wananchi kutokuwa na imani na serikali?
Halafu is he serious kweli kwamba anataka wajiulize? Kwamba yeye na vyombo vya jawabari hawajui sababu ni nini? Hilo ni kambo linalohitaji utafiti kweli? Au wanatengeneza mianya ya kupiga hela tu? Amewahi kukaa na kumuuliza Pascal Mayalla hilo swali? Pascal atamsaidia vizuri zaidi kuliko hao waandishi, maana hata Balile na yeye ni Mwandishi
 
Amewahi kukaa na kumuuliza Pascal Mayalla hilo swali? Pascal atamsaidia vizuri zaidi kuliko hao waandishi,
Viongozi wetu wana deal na kile tuu walicholetewa mezani kwao na madokezo yao, hawajishughulishi kabisa na maoni yetu sisi wa nje tlio nje ya mfumo!.
Kama ni kuwaandikia na kuwashauri, tumeandika sana!.

Mzee Pasco​

Ni mjinga mmoja tu anaweza kutaka kufanya utafiti kujua ****** wa nyani wakati anauona mkia wa nyani
 
Tokea watufungie internet Na baada ya kufungua Na baada ya kusikia nilichosikia baada ya kufungua Kiko tofauti Na nilichokiona ,SAA mbili ikifika mi hupendelea kuona maigizo Na watoto, maana najua Ni uongo ulioidhinishwa, ,
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.

Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.

Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.

Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Mmebana uhuru wa vyombo vya habari, vimebakia kusifia tu, Mama anaupiga mwingi....
Haya kaeni na mavyombo yenu ya kichawa
 
Aache uhuni,sio vyombo vya habari tu, serikali nzima na wahuni wake hawaaminiki na raia akiwemo yeye
 
Kwamba msigwa hajui shida ipo wapi,ninani atamsikiliza balile?
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.

Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.

Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.

Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Siku mkianza kusema ukweli kwamba Yale mabilioni yanayotolewa na serikali kujengea nchi siyo ya mama tutaanza kuwaamini.
Hakuna haja ya tafiti.
 
Angeanza kujiuliza yeye mwenyewe kama Msemaji wa Serikali kwa nini Wananchi hatumuamini?
 
Viongozi wetu wana deal na kile tuu walicholetewa mezani kwao na madokezo yao, hawajishughulishi kabisa na maoni yetu sisi wa nje tlio nje ya mfumo!.
Kama ni kuwaandikia na kuwashauri, tumeandika sana!.

Mzee Pasco​

Kumbe kabla hata ya kukaa na wewe akuuliza ilikuwa ni swala la kuingia JamiiForums tu huko angekutana na majibu yote na ziada
 
Utafiti Gani wakati vyombo vimekamatwa mkononi ili viandike mapambio tu hata kama ukweli uko wazi?
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.

Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.

Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.

Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

Sasa hili nalo la kutaka utafiti kweli? Mbona lipo wazi sana.
 
Back
Top Bottom