Mbona sababu ziko wazi kama dish juu ya batiKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Bilion 1.3ππHaya tengeni pesa za utafiti
PiaBilion 1.3ππ
Kwanini vyombo vya habari pekee? Mbona hajiulizi kuhusu wananchi kutokuwa na imani na serikali?Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Viongozi wetu wana deal na kile tuu walicholetewa mezani kwao na madokezo yao, hawajishughulishi kabisa na maoni yetu sisi wa nje tlio nje ya mfumo!.Amewahi kukaa na kumuuliza Pascal Mayalla hilo swali? Pascal atamsaidia vizuri zaidi kuliko hao waandishi,
Mmebana uhuru wa vyombo vya habari, vimebakia kusifia tu, Mama anaupiga mwingi....Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Siku mkianza kusema ukweli kwamba Yale mabilioni yanayotolewa na serikali kujengea nchi siyo ya mama tutaanza kuwaamini.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
Kumbe kabla hata ya kukaa na wewe akuuliza ilikuwa ni swala la kuingia JamiiForums tu huko angekutana na majibu yote na ziadaViongozi wetu wana deal na kile tuu walicholetewa mezani kwao na madokezo yao, hawajishughulishi kabisa na maoni yetu sisi wa nje tlio nje ya mfumo!.
Kama ni kuwaandikia na kuwashauri, tumeandika sana!.
Pongezi Gerson Msigwa, Kukemea Uchawa Kwa Wanahabari, Kazi ya Media ni Kuonyesha Fursa, Maendeleo, na Trend Setting Sio Kupamba Viongozi!.
Taifa Bila Vyombo vya Habari Huru na Imara ni Taifa Mfu. Gazeti la MwanaHalisi Lisamehewe Kuandika Ukweli?
Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari bila Uhuru wa Kiuchumi wa Waandishi wa Habari
Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?
Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.
CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!
PostGE2025 Kilichotokea Oct 29, Pamoja na Media ya TZ Kutotimiza Wajibu Wetu Kikamilifu, Bado Tuna Wajibu! Kwanini Hatutimizi Wajibu Wetu Baada ya Tukio?
What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.
Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?
Leo ni Siku ya Uhuru wa Habari: Pongezi Waziri Makonda Kuusema Ukweli Mchungu, Pesa Ndio Kila Kitu, Hakuna Uhuru Bila Pesa. Waandishi Tafuteni Pesa
Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?
Mzee Pasco
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza wasiwasi wake kuhusu kupungua kwa ushawishi wa waandishi wa habari kwa wananchi, akitaka kufanyika kwa utafiti kubaini sababu za wananchi kupoteza imani na ufuatiliaji wa vyombo vya habari.
Msigwa amesema hali hiyo inachangia wananchi kuelekeza imani yao katika makundi mengine yasiyo na taaluma wala jukumu rasmi la kuhabarisha umma, akisisitiza kuwa ni muhimu tasnia ya habari kujitathmini na kurejesha heshima na uaminifu wake.
Ametoa kauli hiyo Oktoba 31, 2026, jijini Dodoma, wakati wa Kongamano na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT), ambapo amewataka wanahabari kuzingatia weledi, maadili na kutopendelea upande wowote ili kurejesha nafasi yao kama sauti ya wananchi na watetezi wa maslahi ya jamii.
Soma pia : Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari
π π π π sasa hivi chombo chetu cha habari ni dada mangeVyombo vya habari vinakua na wapumbavu kama pascal mayalla nani aviamini