Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.
Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa
? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?
Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.
Mnaenda kuua ubunifu kwenye sekta hii kwa kuwa tu mtu fulani anafikiri kilakitu kikiandikwa anasemwa yeye na utawala wake. Haya ni matokeo ya utawala na viongozi duni kwenye nafasi muhimu na nyeti. Kungekuwa na utawala bora na uwajibikaji msingekuwa mnafanya mambo kwa hisia na kujipendekeza utafikiri hamna chembe ya dignity mliyobaki nayo.
Nimebubujikwa machozi ya huzuni

Pia soma: Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC
Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.
Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa
? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.