Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo wasomaji Afrika ni kama mwanamke kwenye low libido.

Bila vichwa vya kusisimua hawanunui gazeti.

HATA HIVYO, isiwe sababu ya waandishi kukiuka maadili ya uandishi.
 
Kama wewe ni mwandishi unakosoa kichwa Cha habari Cha mwananchi una shida mahali.
Pengine chuo Chako au uwezo wa uelewa au vyote Kwa pamoja Kuna shida.
Uandishi ni Sanaa na ubunifu.
Mwandishi wa mwananchi analenga zaidi ya Vitu viwili Kwa pamoja.

Kwanza ni kuvutia hadhira kubwa isishie kusoma tu headline Bali itamani kufuatilia habari nzima . Hapo itakuwa imesaidia kutangaza huo mkutano kwa wananchi kufuatilia.

Pili lazima avutie wananchi wengi wanunue gazeti ili kesho kampuni iweze kujiendesha na kuendelea kutuhabarisha .

Hapo ni tofauti na mwandishi wa gazeti la mzalendo na uhuru .

Kwa akili ya kichawa huwezi kuelewa ugumu wa uandishi wa mwananchi.
Unaweza kuwa na uchaguzi wa headline lakini iwe inamvutia msomaji bila
kuondoa au kupotosha maana iliyokusudiwa.
Wewe upo kwenye mlengo wa kisiasa kujaribu kutetea kosa alilofanya Editor wa Mwananchi ambaye ndio mhusika.Mimi sipo huko kwenye siasa zako uchwara.
Kama Editor atadai hana kosa basi akaze fuvu.Uandishi wa habari ni fani yenye miiko yake na utaratibu wake wa kufuata.Ethics of journalism na Law of journalism.
 
Kwa uandishi wako tu wa sentensi mbili inaonyesha hujui lolote kuhusu uandishi.
Kwa uandishi wako tu wa sentensi hii moja (inaonyesha❌) imeonesha huna akili na hujui lolote kuhusu uandishi wa habari.ila sikulaumu ninyi huwa mnakuwa mmefail form four.ndo mnakimbilia kwenye uandishi. Sishangai kabisa.
 
Kwa uandishi wako tu wa sentensi hii moja (inaonyesha❌) imeonesha hunae akili na hujui lolote kuhusu uandishi wa habari.ila sikulaumu ninyi huwa mnakuwa mmefail form four.ndo mnakimbilia kwenye uandishi. Sishangai kabisa.
Umejaribu kuficha ujinga wako Ila uko wazi sana , rudia tena kusoma ulichoondika.
 
Unaweza kuwa na uchaguzi wa headline lakini iwe inamvutia msomaji bila
kuondoa au kupotosha maana iliyokusudiwa.
Wewe upo kwenye mlengo wa kisiasa kujaribu kutetea kosa alilofanya Editor wa Mwananchi ambaye ndio mhusika.Mimi sipo huko kwenye siasa zako uchwara.
Kama Editor atadai hana kosa basi akaze fuvu.Uandishi wa habari ni fani yenye miiko yake na utaratibu wake wa kufuata.Ethics of journalism na Law of journalism.
Kwa hiyo Msigwa na mwananchi nani mwanasiasa , wewe ndo unaingiza siasa kwa kumtetea mwanasiasa mwenye masilahi yake .

Rudia point mbili nizizoelezea utaelewa.
Najua Msigwa anaweza kutumia Sheria kandamizi ya wanasiasa kulazimisha waandishi waombe radhi lakini mwananchi Hana kosa
 
Halafu wote wanaokandia Elimu ya Nchi yetu wamesoma kwa kupitia mfumo huu huu wa Elimu.
Leo wanajifanya kuponda mfumo uliowaelimisha.
Kupita Barabara yenye makorongo haimanishi usikososea kwa faida ya wengine
Uwe mzalendo kwa nchi yako huna nchi nyingine. Usisahau Trump anawarudisha ndg zako maana kule siyo kwao. Hao wakenya hauwajawahi kuwa na jema na nchi yetu. Amkeni kwao huwezi fanya hivyo
Kuna tofauti ya Uzalendo na uchawa.
Uzalendo sio kusifia Kila kitu, huo ni uchawa
 
Wakuu,

Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.

Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

Sasa hapo uchochezi uko wapi Mkuu Gerson Msigwa :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:? Kwani mkutano huu umetoka sababu ya nini? Nna lengo la mkutano huu ni nini? Au wanakutana kwaajili ya kunywa kahawa na kupiga umbea?

Mpaka uchaguzi upite tutaona mengi aisee! Mwananchi imeufyata shwaaaa maana wanajua mna sehemu ya kuwaminyia, wasije wakapigwa kabali nyingine na kuambiwa watafunguliwa mwezi wa 11, 2025.

Mnaenda kuua ubunifu kwenye sekta hii kwa kuwa tu mtu fulani anafikiri kilakitu kikiandikwa anasemwa yeye na utawala wake. Haya ni matokeo ya utawala na viongozi duni kwenye nafasi muhimu na nyeti. Kungekuwa na utawala bora na uwajibikaji msingekuwa mnafanya mambo kwa hisia na kujipendekeza utafikiri hamna chembe ya dignity mliyobaki nayo.

Nimebubujikwa machozi ya huzuni:PeepoRunCry::PeepoRunCry::PeepoRunCry:


Pia soma: Barabara nne Dar kufungwa kuimarisha Usalama mkutano wa SADC na EAC kujadili mzozo wa DRC
Siku nyengine wakafanyie huko Congo hiyo Mikutano yao!!

Inatutesa sana na wagonjwa wanafia barabarani!!

Halafu kesho CHAWA kujisifu eti Mikutano imefanyiakia Tanzania.

Ni mateso
 
Mimi ni field yangu.Kuna ethics za journalism na sheria za uandishi wa habari.
Kama Editor unaweza kuweka a catching headline lakini ni lazima iwe inabeba unachokusudia wasomaji wapate bila kuwa na conclusion zinazoweza kuleta maana nyingine.
Sensational headlines kwenye chombo makini cha habari kinaweza kupoteza umakini wa chombo cha habari kwani msomaji anaposoma headline na conclude bila kupata ushahidi wa alichosoma kwenye habari yenyewe.
Huu mtindo unatumika sana kwenye clip za You Tube ili kupata followers na idadi ya wasomaji na wasikilizaji.
Mwananchi wamevunja sheria na kanuni inabidi waombe radhi.
Inaweza ikawa ni field yako lakini ukawa huna uelewa wa kutosha vile vile mkuu
 
Rubbish, Hilo li takataka sahivi halina wasomaji wanalazimisha kuandika uzushi huo ni utapeli
Kama mwananchi halina wasomaji basi TZ hakuna gazeti lenye wasomaji, hivi unajua kuwa mauzo ya magazeti yote tz ukikusanya hayafikii mauzo ya mwananchi? Yaani NIPASHE, uhuru, mzalendo, majira, habari leo nk hawafikii mauzo ya mwananchi.
 
Back
Top Bottom