Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo wasomaji Afrika ni kama mwanamke kwenye low libido.

Bila vichwa vya kusisimua hawanunui gazeti.

HATA HIVYO, isiwe sababu ya waandishi kukiuka maadili ya uandishi.
 
Unaweza kuwa na uchaguzi wa headline lakini iwe inamvutia msomaji bila
kuondoa au kupotosha maana iliyokusudiwa.
Wewe upo kwenye mlengo wa kisiasa kujaribu kutetea kosa alilofanya Editor wa Mwananchi ambaye ndio mhusika.Mimi sipo huko kwenye siasa zako uchwara.
Kama Editor atadai hana kosa basi akaze fuvu.Uandishi wa habari ni fani yenye miiko yake na utaratibu wake wa kufuata.Ethics of journalism na Law of journalism.
 
Kwa uandishi wako tu wa sentensi mbili inaonyesha hujui lolote kuhusu uandishi.
Kwa uandishi wako tu wa sentensi hii moja (inaonyesha❌) imeonesha huna akili na hujui lolote kuhusu uandishi wa habari.ila sikulaumu ninyi huwa mnakuwa mmefail form four.ndo mnakimbilia kwenye uandishi. Sishangai kabisa.
 
Kwa uandishi wako tu wa sentensi hii moja (inaonyesha❌) imeonesha hunae akili na hujui lolote kuhusu uandishi wa habari.ila sikulaumu ninyi huwa mnakuwa mmefail form four.ndo mnakimbilia kwenye uandishi. Sishangai kabisa.
Umejaribu kuficha ujinga wako Ila uko wazi sana , rudia tena kusoma ulichoondika.
 
Kwa hiyo Msigwa na mwananchi nani mwanasiasa , wewe ndo unaingiza siasa kwa kumtetea mwanasiasa mwenye masilahi yake .

Rudia point mbili nizizoelezea utaelewa.
Najua Msigwa anaweza kutumia Sheria kandamizi ya wanasiasa kulazimisha waandishi waombe radhi lakini mwananchi Hana kosa
 
Halafu wote wanaokandia Elimu ya Nchi yetu wamesoma kwa kupitia mfumo huu huu wa Elimu.
Leo wanajifanya kuponda mfumo uliowaelimisha.
Kupita Barabara yenye makorongo haimanishi usikososea kwa faida ya wengine
Uwe mzalendo kwa nchi yako huna nchi nyingine. Usisahau Trump anawarudisha ndg zako maana kule siyo kwao. Hao wakenya hauwajawahi kuwa na jema na nchi yetu. Amkeni kwao huwezi fanya hivyo
Kuna tofauti ya Uzalendo na uchawa.
Uzalendo sio kusifia Kila kitu, huo ni uchawa
 
Siku nyengine wakafanyie huko Congo hiyo Mikutano yao!!

Inatutesa sana na wagonjwa wanafia barabarani!!

Halafu kesho CHAWA kujisifu eti Mikutano imefanyiakia Tanzania.

Ni mateso
 
Inaweza ikawa ni field yako lakini ukawa huna uelewa wa kutosha vile vile mkuu
 
Rubbish, Hilo li takataka sahivi halina wasomaji wanalazimisha kuandika uzushi huo ni utapeli
Kama mwananchi halina wasomaji basi TZ hakuna gazeti lenye wasomaji, hivi unajua kuwa mauzo ya magazeti yote tz ukikusanya hayafikii mauzo ya mwananchi? Yaani NIPASHE, uhuru, mzalendo, majira, habari leo nk hawafikii mauzo ya mwananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…