Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumerudi enzi za JPM
 
Ni kweli lakini jamaa hiyo heading haijakaa sawa.

Mwananchi wanazengua sana, hivi bado shareholders ni wakenya??
Sasa ile habari ya " MBOO NDANI YA KUMAMOTO" ilikuwa kichwa cha habari kwenye gazeti moja hivi mwaka 1994 kuelekea kwenye mashindano ya world cup.
Kuwa mkongomani aliyekuwa anaichezea Ubelgiji aliitwa MBOO MTOMBO walipiga kambi mji wa KUMAMOTO Japan wakijiandaa na mashindano.
Msigwa anataka kujiona kuwa na yeye amefanya kazi yake ila hakuna shida hapo.
 
Wanakuza tu maneno
Unaandishi ni kipaji
Kuna siku waliandika jamaa ana jina kama la kiongozi wetu wa kwanza kuwa kaiba mbuzi
Watu wakanunua haraka magazeti 😄
Waziri mbaroni kwa utapeli!! 🤣🤣 kumbe mkazi wa mabwe pande ndugu waziri miatano ametapeli kwa kuuzia watu kiwanja kimoja mara mbili.
 
Hivi anaweza kwenda kuthibitisha mahakamani huo uchocheza? Matumizi mabaya ya madaraka nchi hii mtu akipata nafasi yakuteuliwa tayari anajikuta yuko na akili nyingi kuliko wengine wote
 
Waziri mbaroni kwa utapeli!! 🤣🤣 kumbe mkazi wa mabwe pande ndugu waziri miatano ametapeli kwa kuuzia watu kiwanja kimoja mara mbili.
Hapo ukiherehere na udaku lazima ununue tu 😄 🤣 😂 😆
 
Mwananchi wamekosea!
Hapo wameleta taharuki-Msigwa is right.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…