Gerson Msigwa azungumza na waandishi wa habari - Juni 28, 2026

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO

Attachments

  • photo_2026-06-28_10-07-48.jpg
    photo_2026-06-28_10-07-48.jpg
    138.9 KB · Views: 21
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO

View attachment 3617308
Atakuja na same same script kutetea maamuzi ya kusitisha vibali vya mikutano ya siasa
 
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO

View attachment 3617308
well done G.Msigwa,
tupo pamoja:NoGodNo:
 
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO

View attachment 3617308
Chawa mwingine asiyejimbua, subwoofer la Samia na Abdull. Kila anapoongea huwa anaharibu.
 
Wakuu,

Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO

View attachment 3617308
Ufafanuzi.
 
Kuelekea sabasaba mambo ni shwari hali ya amani,utulivu na haki vimetamalaki,wananchi tokeni kwa wingi bila hofu wala wasiwasi..Ila oct29 baadae vichwa vilifunuliwa kama vizibo vya soda bila tahadhali iliyotolrlewa,habari wala taarifa ya uwepo wa vurugu na mauaji ya halaiki.
 
Back
Top Bottom