JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Kufuta maadhimisho ya sikukuu ya 7 saba
Atazungumzia MAVI UHAROWakuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO
View attachment 3617308
Tunakopa sabb tunakopeshekaUpdates
Mkuu leo umeamua kujilipuaTunakopa sabb tunakopesheka
Tuendelee kulipa kodi kodi ndio msingi wa maendeleoMkuu leo umeamua kujilipua
Uhakika mkuuTuendelee kulipa kodi kodi ndio msingi wa maendeleo
Somo letu leo ni HAWATA WAAMBIAUhakika mkuu
Haaaaaah tuendelee kulitumikia taifa kila mmoja kwa nafasi yakeSomo letu leo ni HAWATA WAAMBIA
Wakuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - MAELEZO
Daah kumbe yupo kama boss wake. Ndio maana huwa wanaongea pumba nyingi.Mpiga makelele. Asije kuonja konyagi kabla ya kuongea kama kawaida yake. Pia ajue tunaelewa Assad alimzungumzia mwana fa