Gerson Msigwa azungumza na waandishi wa habari - Juni 28, 2026

Atazungumzia MAVI UHARO
 
Ile ni mashine ya kuchakata propaganda ya CCM .

Mimi sio mtabiri , miongoni mwa atakayoongea atasema kuna watu wamelipwa kuandamana.

Baada ya hiyo press uchwara tutakuja kukumbushana.
 
Hakuna mambo atagusia zaidi ya haya "Serikali inafanya kazi, serikali imetekeleza miradi za kimkakati, Serikali imetenga bajeti, serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kazi iendelee "
 
Anatoa maelezo ya nini
 
Tumsikilize nani sasa! Mwaipopo, Katambi, Mwigulu, au Msigwa? Maana kila mtu kwa sasa ni msemaji wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…