So ishu hapa ni abiria kutambua tatizo kumbe na suluhisho ni kuweka Mazingira wezeshi wasiwe wanagundua tatizo...wataleta taharuki eti??!!!.
Hivi hii ni Nchi kweliiiiii na hawa ndiyo Viongoziiiiii!!!!
...Comfortable kabisa mbele ya media kama zote.......!!!