Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana
Amesema kwamba Chombo cha Habari cha CNN ilichapisha taarifa zinazotuhumu serikali ya Tanzania bila kutoa nafasi kwa Serikali kutoa majibu, hivyo habari hiyo imeegemea upande mmoja
Amesema kwamba Chombo cha Habari cha CNN ilichapisha taarifa zinazotuhumu serikali ya Tanzania bila kutoa nafasi kwa Serikali kutoa majibu, hivyo habari hiyo imeegemea upande mmoja