PostGE2025 Gerson Msigwa: CNN imechapisha taarifa zenye tuhuma kwa Serikali pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana

Amesema kwamba Chombo cha Habari cha CNN ilichapisha taarifa zinazotuhumu serikali ya Tanzania bila kutoa nafasi kwa Serikali kutoa majibu, hivyo habari hiyo imeegemea upande mmoja

Nmesoma kwa mwandishi wa CNN kuwa waliomba kuwepo kwenye hiyo press wakagomewa!

Au nililewa!😀🙌
 
Vp amesema hizo habari sio za kweli?

Kwanza sioni ulazima wa hii kitu kutafuta uhakika upande wa pili. Kila mtu atumie resources zake kuweka ukweli.

CNN wametimiza wajibu wao, msigwa nae aandae documentary wairushe tibisii na chanel teni.
Sahihi,
Kama watu wawili wako ndani ya nyumba wanabishana nje mvua inanyesha au hainyeshi sio kazi ya mwandishi wa habari kupata maoni ya pande zote mbili bali kazi ya mwandishi wa habari inakuwa kutoka nje ya nyumba kuangalia na kuthibitisha mwenyewe kama mvua inanyesha.
 
Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana

Amesema kwamba Chombo cha Habari cha CNN ilichapisha taarifa zinazotuhumu serikali ya Tanzania bila kutoa nafasi kwa Serikali kutoa majibu, hivyo habari hiyo imeegemea upande mmoja

Kama hakukuwa na maswali kutoka kwa waandishi wa habari na majibu kutoka kwake hayo sio mazungumzo na waandishi wa habari bali ni hotuba kutoka serikalini kwenda kwa vyombo vya habari.
 
Viongozi wa hii serikali ni kama vile maquma, wanafanya mauaji tangu 29 Octoba mpaka leo zimepita siku zaidi ya 20 hamjaongea chochote, sasa walitaka taasisi zenye kujitambua zisubiri nini.

Huyo qhuma mkubwa manyonyo makubwa ameongea mara kibao ila hajazungumzia uuaji wake, sasa cjui alikuwa anasubiri atiwe kidole cha mkungu ili aongee au vp
 
Mpumbavu sana huyu mtu, alitaka nafasi gani ili ajibu nini kuhusu mauwaji yaliyokwisha fanyika?

Huu muda anaopoteza ku bwabwaja si angekuwa anajibu kama anadhani anayo majibu ya mauwaji waliyo fanya ma ccm na polisi wao, hao cnn wamewashika mikono au midomo?

Jibu gani anadhani atalitoa na kwa nani hasa anahitaji majibu hayo?

Kwani cnn walimuuliza swali?

Wao wameonyesha yanayofanywa na ccm na polisi wao, alitaka waombe ruhusa au waeleze ukweli uliopo?

Mlipokuwa mna uwa mlizima mitandao na umeme ili mfanye uhalifu zaidi, sasa mnataka mumjibu nani, na ili iweje?
 
Sasa si wakatae kama hiyo taarifa ya CNN ni AI! Na kama ni ya kweli basi wanatakiwa kujitathmini kama wana sifa ya kuendelea kuwepo madarakani.

Maana hawawezi kuruhusu polisi na wahuni wao wengine kuua raia hovyo kwa kisingizio cha kuzuia maandamano! Na wakati huo huo njia sahihi za kuzuia hayo maandamano zikiwa zinafahamika duniani kote. Kwa nini hawakuzitumia, na badala yake wakachagua kutumia risasi za moto?
 
Madowo amualike sasa kujibia hizo habari anazoziita tuhuma ili sasa ziweze kuwa rasmi.

Je, yupo tayar kujibu.
 
Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana

Amesema kwamba Chombo cha Habari cha CNN ilichapisha taarifa zinazotuhumu serikali ya Tanzania bila kutoa nafasi kwa Serikali kutoa majibu, hivyo habari hiyo imeegemea upande mmoja

Upepo uje ndio utaona uchi wa kuku

Ndio kinawapata akina Msigwa ,mngekaa kimya kuliko kujianikaa
Achieni miili ya watuu wazikwe kwa.heshima ,haiwezekani muue hata kuzika hamtaki kuwapa heshima watuu
 
Hawa watu wapimwe Akili.

inawezekana tunawapa uongozi watu wenye matatizo ya akili. 
Sio hivyo tu, ni makosa makubwa kumpa urais utu anayeibukakutoka maporini. Kiongozi unawaambiaje watu wapige,wawanyamazishe
 
Back
Top Bottom