Gerson Msigwa: El Niño, ni kuongezeka kwa joto

Ndio joto huwa linavuruga akili, lakini vitoto vyenyewe kama unavyoona havichelewi kuvua nguo maana hiyo litakuwa kali hali hii itawavuruga wasimamizi hasa wa kiume kuepusha yote hayo tumeona wafanye mapema
Sawa kwahyo ile bilion mia saba mliyoitenga vipi?
 
Sawa kwahyo ile bilion mia saba mliyoitenga vipi?
Oooh infact ile billion mia saba, mpaka sasa imeshatumika, na kama unavyojua tulitoa taarifa kuwa Elinino ilianza mwezi wa tano,kuna gharama za kununua vifaa vitavyowezesha kujua joto ni la namna gani, tunashauri wananchi mnywe maji mengi msije mkazimia
 
Bilioni mia saba ilikuwa ya kuzibua mitaro, haha noma sana!
 
Mtununulie hata maji kutupoza koo basi loh! Bilioni mia saba limeshatembea hivyoo!👋🏼
 
 
Kwahiyo zile billion 730 zilikuwa za A/c sio, au barafu? Na mitaro mlichimba kwa ajili ya ku circulate hewa..msituzingue tunataka el nino yetu kama mmeipiga tuambieni
 
Kama joto nikali simuwaingizie wananchi wote umeme kwa bei ya ruzuku watalipa kupitia mita zao?
Joto kali umeme hakuna watu hawatumii feni.
 
Sijui tushike lipi ndipo.
Hakuna cha kushika, tuliambiwa watu wa bondeni wahame, tuzibue mitaro, tukate miti iliyozunguka majengo, wasafiri tuchukue tahadhari ikibidi kubadirisha ratiba za safari na shule zitafungwa mapema kuepuka maafa.
Yote hayo yamefanyika lakini kumbe el Nino yenyewe ni joto tu!!😇😇
 
Mtani inasikitisha sana hii.

Mi mwenyewe kuna safari fulani niliifuta kabisa hapa imebidi niirudishe tu mana mpaka sasa kwangu naona el nino inageuka kuwa porojo.
 
bora el-ninyo iji 2pate maji!! mimi nina wikisasa sijaoga
 
Mtununulie hata maji kutupoza koo basi loh! Bilioni mia saba limeshatembea hivyoo!👋🏼
Watanzania acheni uvivu, serikali sikivu imehakikisha upatikani wa maji safi kila eneo, kinyweni maji, hizo bill 700 ni ndogo sana ukilinganisha na wenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…