SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Lakini si tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika?Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 50, itegemee kodi ya kujengea madaraja, barabara, flyovers, mishahara na maposho mbalimbali kutoka kwa Wazanzibari wasiozidi milioni 2!! Na ambao kitega uchumi chao kikuu kikiwa ni utalii na karafuu!!!
Nafikiri haja kutukana ila ameunga mkono hoja yako ya Usirini vyumbani.Ndugu yangu sijawahi kukutukana na sioni sababu kwanini wewe unanitukana??
Huyu akienda kichwakichwa atajikuta mtaroniKuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha
Sorry ndugu nilisoma vibaya.. pale kwenye VYUMBA nikasoma VYUO.. SoryVyuo gani tena ndugu??
Nchi ngumu sana hii. Simfahamu kwa undani huyu Suphian Juma, pamoja na sababu zake za kuondoka ACT Wazalendo, lakini nitakua wa mwisho kuamini uzushi kama huu, tena kutoka kwa Msemaji wa Serikali.
Swali la kitoto sana hili, una miaka mingapi ndugu?Sorry ndugu nilisoma vibaya.. pale kwenye VYUMBA nikasoma VYUO.. Sory
Any way, kwenye hizo kuta nne za vyumba, na wewe huwa unaingia ..
Inawezekana ni swali la kitoto kwa mtazamo wako.. LAKINI MAANA YANGU NI KUWA HATA WEWE HAYO ANAYOTUHUMIWA/WANAYOTUHUMIWA HAO UKAYAFANYA... MAANA UWEZEKANO MAANA SABABU ULIZOZITOA KWAMBA YANAYOFANYIKA NDANI YA KUTA NNE NI YA AJABU, NA WEWE HIZO KUTA NNE HUWA UNAKUWEMO NDANI YAKE MAANA YAKE HATA WEWE UNAWEZA KUYAFANYA..Swali la kitoto sana hili, una miaka mingapi ndugu?
Wewe huwa unalala wapi ndugu? Kwenye kiota, pango, au kwenye chumba chenye kuta nne?????
Kila mwanadamu ana chumba anacholala na hicho chumba kinabeba siri zake zote.
Ndimaanaaa chichim wamemchua jumla jumlaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787],kwa kauli ya msigwa ambae ni mwana ccm mwenzake naaamini suphian hata pinga hiliKumbe sufian shoga[emoji3]
Ndugu, hoja niliyoandika iko wazi na inaeleweka. Tena nimefafanua vizuri tu mwishoni kwa kuandika kuwa kwenye vyumba vya kulala kila binadamu ana siri zake.Inawezekana ni swali la kitoto kwa mtazamo wako.. LAKINI MAANA YANGU NI KUWA HATA WEWE HAYO ANAYOTUHUMIWA/WANAYOTUHUMIWA HAO UKAYAFANYA... MAANA UWEZEKANO MAANA SABABU ULIZOZITOA KWAMBA YANAYOFANYIKA NDANI YA KUTA NNE NI YA AJABU, NA WEWE HIZO KUTA NNE HUWA UNAKUWEMO NDANI YAKE MAANA YAKE HATA WEWE UNAWEZA KUYAFANYA..
Ungetoa tu sababu ambayo ipo specific kwa watuhumiwa
Ndugu kaa kimya kabisa. Hii nchi kuna watu wanafirwa hata hauwezi kuamini. Acha tusubiri hukumu zetu tu.Nchi ngumu sana hii. Simfahamu kwa undani huyu Suphian Juma, pamoja na sababu zake za kuondoka ACT Wazalendo, lakini nitakua wa mwisho kuamini uzushi kama huu, tena kutoka kwa Msemaji wa Serikali.
Mimi nimeamua kumuamini msemaji wa Serikali. Hao watu walikuwa wanakulana.Ndugu kaa kimya kabisa. Hii nchi kuna watu wanafirwa hata hauwezi kuamini. Acha tusubiri hukumu zetu tu.
Kwanini uamsho waliletwa Tanganyika?
Mkuu yohana mbatizaji hizi ni mada za kupita kimya kimya. Hazina hadhi wala hoja ya kujadiliwa. Ni aibu na adha kubwa kwa taifa. 😕Hahahaaaa......bwashee wapinge kwa hoja!
Tasnia ya siasa imevamiwa na mafirauni.
Nini.Kwa hiyo rasmi kada wa CCM Suphian ni kitafunwa.