Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

Gerson Msigwa: Gazeti la Tanzanite inawezekana lilithibitisha kuwa Zitto na Maalim Seif waligombania shoga

Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 50, itegemee kodi ya kujengea madaraja, barabara, flyovers, mishahara na maposho mbalimbali kutoka kwa Wazanzibari wasiozidi milioni 2!! Na ambao kitega uchumi chao kikuu kikiwa ni utalii na karafuu!!!
Lakini si tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika?
 
Kuna clip ya video inatambaa kwa kasi ikimuoesha mkurugenzi wa habari maelezo Ng ,Gerson Msigwa akisema kuwa hawakulifungia gazeti la Tanzanite linalomilikiwa na msiba kwa kuhapisha habari za uongo kuhusu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Zito kabwe na aliyekuwa makamu wa kwanza wa urais seifu sharifu Hamad kujihusisha
Huyu akienda kichwakichwa atajikuta mtaroni
 
Sorry ndugu nilisoma vibaya.. pale kwenye VYUMBA nikasoma VYUO.. Sory

Any way, kwenye hizo kuta nne za vyumba, na wewe huwa unaingia ..
Swali la kitoto sana hili, una miaka mingapi ndugu?

Wewe huwa unalala wapi ndugu? Kwenye kiota, pango, au kwenye chumba chenye kuta nne?????

Kila mwanadamu ana chumba anacholala na hicho chumba kinabeba siri zake zote.
 
Inawezekana ni swali la kitoto kwa mtazamo wako.. LAKINI MAANA YANGU NI KUWA HATA WEWE HAYO ANAYOTUHUMIWA/WANAYOTUHUMIWA HAO UKAYAFANYA... MAANA UWEZEKANO MAANA SABABU ULIZOZITOA KWAMBA YANAYOFANYIKA NDANI YA KUTA NNE NI YA AJABU, NA WEWE HIZO KUTA NNE HUWA UNAKUWEMO NDANI YAKE MAANA YAKE HATA WEWE UNAWEZA KUYAFANYA..

Ungetoa tu sababu ambayo ipo specific kwa watuhumiwa
 
Ndugu, hoja niliyoandika iko wazi na inaeleweka. Tena nimefafanua vizuri tu mwishoni kwa kuandika kuwa kwenye vyumba vya kulala kila binadamu ana siri zake.

Sasa wewe unapotosha maana ya kile nilichokiandika kwasababu za kitoto.

Elewa kuwa hata baba yako na mama yako wanasiri zao za huko chumbani ambazo labda ungezijua usingeweza hata kuwatizama usoni.

Zitto na Maalimu walikuwa na siri zao, wewe una siri zako, baba yako ana siri zake, huyo Msigwa ana siri zake, mimi nina siri zangu na kila mtu ana mambo yake ya siri.

Hii ni comment ya mwisho kukujibu.
 
Kwanini uamsho waliletwa Tanganyika?

CAP 19 of Laws, 2002 Prevention of Terrorism Act inazipa kesi za ugaidi concurrent jurisdiction kati ya Zanzibar and Tanganyika high court.

Kwa hiyo wanaweza kupelekwa popote.

Sasa kwa nini serikali ilichagua Tanganyika jurisdiction? Kwa sababu walitaka wasipewe dhamana. Zanzibar huwezi kuwekwa detention zaidi ya miezi 9.
 
Hahahaaaa......bwashee wapinge kwa hoja!

Tasnia ya siasa imevamiwa na mafirauni.
Mkuu yohana mbatizaji hizi ni mada za kupita kimya kimya. Hazina hadhi wala hoja ya kujadiliwa. Ni aibu na adha kubwa kwa taifa. 😕
 
Nina hakika Toilet paper ziliipiku kwa mauzo Tanzanite ya Musiba and Co.

Iliyokuwa ikilipwa na dikteta uchwara ikiwa ni kigazeti cha ajabu ajabu kilichokuwa kimejaa propaganda tupu..

Good thing is Karma is a b*tch leo hii sponsor hayupo na kigazeti kimejifia huko machakani..

Poleni MATAGA.
 
Maeleza ya msigwa yanaonyesha Ni jinsi gani alivyo Mpumbavu. Uwezi kusema huenda walithibitisha.huu Ni upumbavu unaopaswa kutolewa pale ikulu. Msemaji wa tahasisi unawezaje kuwa Mpumbavu kiasi hiki. Ukweli Ni kwamba ilo gazeti linazaminiwa na Serikali aliwezi kufungiwa kwa chochote maana SHETANI HATOI SAHETANI.Ni maalum kwa propaganda za kipumbavu kwa wapumbavu
 
Kwa hiyo rasmi kada wa CCM Suphian ni kitafunwa.
Nini.
Screenshot_20211010-155309.jpg
 
Back
Top Bottom