SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Lakini si tulishakubaliana kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika?Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 50, itegemee kodi ya kujengea madaraja, barabara, flyovers, mishahara na maposho mbalimbali kutoka kwa Wazanzibari wasiozidi milioni 2!! Na ambao kitega uchumi chao kikuu kikiwa ni utalii na karafuu!!!