Doooh! Toka lini ni marufuku mtu kueleza mawazo yake katika jukwaa hili huru?
Wengi humu tunatamani kuiona Tanzania yenye usawa lakini wengi wetu hatuamini katika usawa, maana mtu akifikiria tofauti na ufikiriavyo wewe unamtwisha rungu. Wapo madikteta wengi humu sema hawana mamlaka.
Easter Monday njema.
Paskali Mayala anafaa sana! Kwanza ni kizazi kilichokulia kota za makumbusho, pili hana unafiki ni mtu mwenye msimamo, tatu elimu na weledi umenyooka! Kwa umri wake atatenda haki pale.
Mama tupe mwanaJF mwenzetu tunaomba sana!
Hafai Wala hana sifa hata kidogo,ni mnafiki tuu na kujipendekeza sana