Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
- Thread starter
- #41
Doooh! Toka lini ni marufuku mtu kueleza mawazo yake katika jukwaa hili huru?
Wengi humu tunatamani kuiona Tanzania yenye usawa lakini wengi wetu hatuamini katika usawa, maana mtu akifikiria tofauti na ufikiriavyo wewe unamtwisha rungu. Wapo madikteta wengi humu sema hawana mamlaka.
Easter Monday njema.
Salute