Gerson Msigwa kaondoka Ikulu nafasi ipo wazi, Pascal Mayalla ana nafasi ya kulamba uteuzi

Gerson Msigwa kaondoka Ikulu nafasi ipo wazi, Pascal Mayalla ana nafasi ya kulamba uteuzi

Doooh! Toka lini ni marufuku mtu kueleza mawazo yake katika jukwaa hili huru?

Wengi humu tunatamani kuiona Tanzania yenye usawa lakini wengi wetu hatuamini katika usawa, maana mtu akifikiria tofauti na ufikiriavyo wewe unamtwisha rungu. Wapo madikteta wengi humu sema hawana mamlaka.

Easter Monday njema.

Salute
 
Paskali Mayala anafaa sana! Kwanza ni kizazi kilichokulia kota za makumbusho, pili hana unafiki ni mtu mwenye msimamo, tatu elimu na weledi umenyooka! Kwa umri wake atatenda haki pale.

Mama tupe mwanaJF mwenzetu tunaomba sana!
 
Hiyo nafasi kuna mama mmoja anaweza kupewa.ngoja tuone,kwa sasavni mkurugenzi wa shirika nadhani.
 
Mama hebu mkumbuke Paschal Njaa , yaani miaka sita anahangaika tu kulamba miguu bila mafanikio CCM hebu kuweni waungwana chawa huyu ataishiwa damu na maji .
 
Paskali Mayala anafaa sana! Kwanza ni kizazi kilichokulia kota za makumbusho, pili hana unafiki ni mtu mwenye msimamo, tatu elimu na weledi umenyooka! Kwa umri wake atatenda haki pale.

Mama tupe mwanaJF mwenzetu tunaomba sana!

Ahsante sana,tumwombe Mungu apate nafasi ya kuvinjari viwanja vya Ikulu ya Magogoni na Chamwino.Tuna imani na Mama hawezi kutumia makazi yake binafsi huko Pemba kama Ikulu.
 
Mayala anaweza akalamba dume wazee

Ova
 
Huyo msukuma mwenzake si ailishasema Mayala maana yake ni njaaa
 
Wakati wa upendeleo kwa wasukuma umekwisha sasa tufuate weledi/professionalism.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti cjui kalogwa na nan
 
...Yule msaniia dk Abbas kaperekwa wapi?,au kamwagwa?
 
Back
Top Bottom