Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

Na mimi naongezea "No Reforms No Election"
 
Jitu lilioshiba TUMBO la mavi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Allah atamfanyia wepesi mama yetu

Free palestine 🇵🇸
Wewe naye free Palenyoko si uende hukohuko Israel akakutwange. Nilikuwa nawaonea huruma Palestine ila nimeona ni ujinga, hasa watu kama wewe uko kidini, wanaotaka reforms nawewe unayetaka Taifa huru la Palestine mna tofauti gani acha unafiki kwanza. Usiangalie kwa macho ya tinted.
 
Safari hii upuuzi utaondoa wapuuzi wote. No Reforms no Election forever
 
Ww jizi la kura hii kampeni haikuhusu. Achia sisi tuliochoka kuburuzwa na chama la majizi.
Hata chadema ikiingia unategemea hakutakua na viongozi walafi! Kwanza wafuasi wenu wengi ni wakristo, na asilimia kubwa ya Tanzania ni waislamu, na wanaoipigia kura ccm wengi ni waislamu, na wengi pia ni wakristo, japo ccm wana madhaifu yao, but kikubwa amani.
 
iMahakama ya kimataifa ICC ituondolee huyu mpuuzi. Wanatuibia na kuomba mikopo ya serikali wanatumia na familia zao.
 
Allah atamfanyia wepesi mama yetu

Free palestine 🇵🇸
Na mimi nasema "Allah Atawalipia Kisasi Waliotekwa na Kuuawa" kwa kuwa imeandikwa "Kisasi Ni Haki" na "Atawafanyia Wepesi Ndugu, Watoto na Wenza wa Waliotekwa na Kuuawa".
 

Sawa hata unitukane, ila nitaendelea kuwa upande wa ndugu zetu waislamu, na sio upande wa makafiri wanywa damu za watoto, wamama na wazee. Nadhani umenielewa ewe dada.

Free palestine 🇵🇸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…