Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

 
Kumbe Bantu lady ni RC mwenzangu asee!!??

Ndiyo maana tunablend.πŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nina hekaheka sana, ukinikuta navyowatetea Palestine, mpaka nishaitwa Hamas mimi 🀣🀣🀣🀣 nikiitetea Chadema utasema nina chama, mpaka nishaambiwa miye mwanaume shoga leo. Dah ila sitaacha kusimamia kile roho yangu ina amani nacho. Mimi ni Roman Catholic, ndiyo maana tunaelewana kweli πŸ₯°
 
Kabisa yaani,wanalala wanashtuka ,wanawsha data kuchek wananchi hasira yao wanaona bado,
 
Tanzania zidisheni comment za no reforms no election kila sehemu wameshaanza kujitokeza kulalamika wanajifanya hawajui tunachotaka.

Nimemsikia msigwa akilalamika kuhusu comment hizo kwenye account zake anajifanya hajui wananchi wanataka nini, twendeni na kwenye account zote za mabalozi na media zote za kimataifa dunia ijue kuwa watanzania tumesimama tunataka mabadiliko ya kiuchaguzi.
 
Naona uzi wako wameunganisha na huu
 
mnaelewana ? πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…