Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?

Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.

Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.

image_search_1668041239886.jpg
 
Hii nchi Kwa muda mrefu Sasa inajiongoza, uzuri wananchi siku hizi tumeacha uvivu tunapiga Sana spana kupooza machungu nadhani next stages ni mbaya Sana kwao hii ni taa ya kijani.

Hii inaonesha wananchi wameikatia tamaa serikali yao,hii inaashiria ipo siku wananchi watachukua maamuzi magumu.

Ipo siku wananchi watawawajibisha viongozi wao wasiotaka kuwajibika. Ipo siku, ipo siku, ipo siku na ndio maana wananchi wanafurahia wanaposikia viongozi wao wamekufa, Haituumizi .
 
Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne .Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini , kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.View attachment 2411897
Mkuu Kamanda Asiyechoka , tufike mahali tuache kulalamika, what was done in Mwanza, its the best we could do!. Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka Urusi na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.

Kwa vile ile ni ajali, time taken toka zilipo hadi aneo la tukio ni more than 30 min flytime, hivyo zingefika na kuipoa ndege with all dead inside, kwasababu ndege ilipoanguka within minutes ilianza kujaa maji na hata kama isingekuwa imetoboka, then they would have died by suffocation kwa kukosa hewa ya oksigen.

Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
 
Mkuu P tusipende kutetea uzembe. Kama zipo Mwanza. Zilipaswa kwenda kunyanyua tu hata kama ni baada ya saa moja.

Ajali imetokea asubuhi, watu wanaanza kupata msaada baada ya masaa.

Taarifa kuwa sasa hali ni tete inapatikana mchana.

Ndege inavutwa na watu kama kokolo. Ulidhani walitumia muda gani kama sio zaidi ya saa kuiweka sawa. Bora helkopta ya kunyanyua mizigo ingeenda.
 
Mkuu P tusipende kutetea uzembe. Kama zipo mwanza. Zilipaswa kwenda kunyanyua tu hata kama ni baada ya saa moja.

Ajali imetokea asubuhi, watu wa
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, pia wasinge vuja vioo, wangeicholopoa ndege nzima nzima but will all dead bodies!.

Kilichofanyika is the best we could do!.
P
Mkuu P tukinunua chopa kwa ajili ya vita haziwezi kutumika kwenye majanga?
 
Mkuu P tukinunua chopa kwa ajili ya vita haziwezi kutumika kwenye majanga?
Infact mimi kabla ya kuwa mwandishi wa habari, nilikuwa mjeda pale Airwing, ndio maana najua hizo makitu tuñazo 4!.

Zinaweza kutumika tatizo ni zilipo na toka authorization time ya command, kutoka zilipo hadi Bukoba, kuicholopoa ndege kwenye maji, would have taken more than 1 hour, hivyo ingecholopoa all dead bodies only!.

All the survivors ni wa within the first hour!, the rest siku nzima ilikuwa ni kukusanya only the dead bodies!.
P
 
Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
Wewe Paskali, naona unajishusha kwa kutetea uozo. Mwalimu alisema kupanga ni kuchagua.

Unaposema kuwa hizo chopper zipo sijui nne na zinangoja ajali zitumike. Ajali si ndiyo kama hiyo. Hebu nikuulize, kama zipo kwa nini angalau moja au mbili zisiwekwe mahali ambapo ni rahisi kuwa "deployed" kwa haraka? Kwa nini moja isiwe kama Mwanza hivi!

Wahusika hawajui kama ajali inwezatokea popote, kama wanajuwa kwa nini wameziweka pembeni mwa nchi, au ziko huko zikingoja ajali zitokee kwa wakubwa ndiyo zionekane.

Sisi wenyewe tunajijuwa, mipango yetu ni ya kukurupuka. Ona muosha au muanika dagaa kafanya kazi nzuri kuliko waokoaji waliyosomea hiyoi kazi.

Mara ngapi inatokea mioto na zimamoto hwaonekani, wakionekana wanakuja wamechelewa.

Wakija wanechelewa wanakurupuka bila hata kuwazia kuwa matenki ya maji ya zima moto haytana maji.

Hivi kweli inaingia akilini mwaka "someone trained and serious with his/her professional runs to the scene of accident/fire without required gear. Tusitetee uzembe ambaqo unaanzia kwa mtu wa juu kabisa hadi wa chini mno.
 
Infact mimi kabla ya kuwa mwandishi wa habari, nilikuwa mjeda pale Airwing, ndio maana najua hizo makitu tuñazo 4!.

Zinaweza kutumika tatizo ni zilipo na toka authorization time ya command, kutoka zilipo hadi
Umesema zilinunuliwa wakati wa Mkapa. Ulikuwa bado mjeda?

Kuruhusu ndege kwenda kufanya maokozi ni amri inayochukua masaa kwenda eneo la tukio?

Tuna airbase pale Mwanza, ilipaswa iwepo moja.
 
Wewe Paskali, naona unajishusha kwa kutetea uozo. Mwalimu alisema kupanga ni kuchagua. Unaposema kuwa hizo chopper zipo sijui nne na zinangoja ajali zitumike. Ajali si ndiyo kama hiyo. Hebu nikuulize, kama zipo kwa nini angalau moja au mbili zisiwekwe mahali ambapo ni rahisi kuwa "deployed" kwa haraka? Kwa nini moja isiwe kama Mwanza hivi! Wahusika hawajui kama ajali inwezatokea popote, kama wanajuwa kwa nini wameziweka pembeni mwa nchi, au ziko huko zikingoja ajali zitokee kwa wakubwa ndiyo zionekane.
nilisema
Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka BAE, na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.
Sijasema zinangoja ajali, nimesema zilinunuliwa kwa madhumuni kusudiwa na zipo zimepaki tuu mahali zikisubiria hayo malengo kusudiwa na sio kusubiria ajali zikafanye uokozi!.

Cha maana ni chopa hizi zipo tunazo, sasa swalo ni zilinuniliwa lini, wapi kwa kiasi gani, zilinunuliwa za nini kufanya kazi gani, na sasa ziko wapi, zimepaki wapi, zikifanya nini?, kwanini itokee ajali, Watanzania wenzetu wapoteze maisha while vifaa hivyo vipo?, that is not for me to say!.
P
 
Mkuu P tusipende kutetea uzembe. Kama zipo mwanza. Zilipaswa kwenda kunyanyua tu hata kama ni baada ya saa moja.
.
Mkuu kuwa serious hata kidogo.

Hii ni sawa na yule aliyetaka kutumia mamilioni ya dola kununua drones za kuzima moto kwa sababu ya moto wa soko la Kariakoo!!

Hivi unajua mwanadamu kawaida hawezi kukaa zaidi ya 5 minutes bila hewa zaidi ya hapo ubongo unaanza kuaribika?! Ile ndege maji yalishaanza kuingia ndani na wingi wa abiri oxygen ingeisha muda sio mrefu!

Ile ndege tumeambiwa ina tani zaidi 18 plus maji yaliyoingia ndani. Helicopter ya kunyanyua hizo tani sio hizi tunazozijua Sisi. Hata nchi zilizoendelea hawana kwa ajili ya majanga. Mfano, kama hiyo uliyoweka picha hapo unakuta zinamilikiwa na kampuni binafsi za kukodisha na zipo nchi chache. Bei zake ni kubwa.

Sasa hajali Kama hii hajawai kutokea Tanzania. Uka spend ma bilioni ya dola kununua helicopters ambazo chance ya kuzitumia kwenye madhumuni yaliyofanya zinunuliwe ni almost to zero na pia hazita leta tofauti kwenye kuokoa maisha ya watu.
 
Umesema zilinunuliwa wakati wa Mkapa. Ulikuwa bado mjeda?

Once mjeda always mjeda. Mtu kuwa mjeda unafanyiwa mafunzo ya kijeda ukifuzu ndipo unakiwa mjeda, hata uliacha jeshi, ukifukizwa, ukiachishwa, bado inabaki kuwa mjeda.
Kuruhusu ndege kwenda kufanya maokozi ni amri inayochukua masaa kwenda eneo la tukio?

Amri za kijeda takes few minutes, ndio maana zilipo watu wapo standby kwa majukumu kusudiwa!. Ajali ya ndege sio jukumu kusudiwa!.
Tuna airbase pale Mwanza, ilipaswa iwepo moja.
Anayejua tuna airbase wapi na zilipaswa kuwa wapi is neither me or you to say!, tena hata ile tuu kusema tuna aibase wapi ni kosa!.
P
 
Once mjeda always mjeda. Mtu kuwa mjeda unafanyiwa mafunzo ya kijeda ukifuzu ndipo unakiwa mjeda, hata uliacha jeshi, ukifukizwa, ukiachishwa, bado inabaki kuwa mjeda.

Amri za kijeda takes few minutes, ndio maana zilipo watu wapo standby kwa majukumu kusudiwa!. Ajali ya ndege sio jukumu kusudiwa!.

Anayejua tuna airbase wapi na zilipaswa kuwa wapi is neither me or you to say!, tena hata ile tuu kusema tuna aibase wapi ni kosa!.
P
Dunia ya leo sio kama miaka ya vita vya Kagera. Leo hii air base za mataifa kibao zipo mitandaoni hadi coordinates za eneo husika unawekewa.

Jambo la msingi ni kuwa na helkopta ambyo inaweza kusaidia umma kwa kila namna iwe vita au majanga. Sio kuzunguka na Nape kukagua vibao vya mtaa.
 
Back
Top Bottom