Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
Ndio maana wadogo zako humu huwa tunakuambia Mzee Njaa una kaunafiki Fulani ka technical...

Hizo ajali Ni zaidi ya tatu au nne ..the same mistakes...Mv SPICE ilitokea usiku vyombo vya ulinzi na usalama vilipewa taarifa mapema kabisa lkn hakuna chochote kilichofanya zaidi ya kwenda asubuhi kuzisomba maiti..
Hizo ndege nne unazosema mbona hazijawahi kwenda kuzima Moto mlima Kilimanjaro ..Mnazima Moto juu ya kilele kwa kutumia majani shame on you...
 
Mkuu zile chopa tulizonunua zinaweza kubeba tani 18 na ushee?
zinabeba.
images (8).jpeg

P
 
Hizo ndege nne unazosema mbona hazijawahi kwenda kuzima Moto mlima Kilimanjaro ..Mnazima Moto juu ya kilele kwa kutumia majani shame on you...
Zipo zilinunuliwa kwa kazi maalum na sio kuzimia moto au uokozi!.

Maadam zipo na kile kilichofanya ziwepo sasa hakipo tena, its high time tubadili matumizi ya hayo makitu, badala ya kuiweka tuu midude inakaabure na kuanza kuoza, bora ibadilishiwe matumizi.
P
 
Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?

Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.

Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne .Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini , kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.View attachment 2411897
Watanzania katika ubora wa ujuaji wetu. Nani angeweza kujua kuwa asubuhi ile pale Bukoba kungekuwa na ajali mbaya ya ndege?.

Ndege ya Malaysia imeanguka na kupotea ndani ya maji tangu March 2014 mpaka leo hii haijaonekana, unataka kusema Malaysia hawana uwezo wa kununua hizo aerial cranes?.

Kila mtu anajua kuongea mbele ya kamera, taifa fulani linaishia katika umaskini huu huu. Kuongea kazi nyepesi isiyoendana na nidhamu halisi.
 
Siku nikija Tanzania ebu nipewe ata wilaya.

Hiyo wilaya number mapato yetu kwanza kutakuwa hakuna watoto under 18 wanaola mtaani.

Mengine watanikoma wanichongee kwa bosi mpaka anitimue, vinginevyo wangetia akili.

Just a bunch of incompetent people given opportunities Ndio maana tuna nchi ya ovyo.
 
Namna bora ya haraka ya kuokoa abiria waliopata shida ilikuwa ni kwa divers kuzamia majini haraka, kwa sababu ile ndege ilishaanza kuingia maji...

Hizi mambo za sijui tungekuwa na helicopter au cranes za kunyanyua ile ndege zingechelewa kwa sababu lazima kungea zwa kwanza kufanya impact assessment ya ajali na mlolongo mrefuuuu...
 
Divers huko BK watoke wapi?. Divers wako Yatch Club na Zanzibar na sio BK, tukubali tukatae what we did is the best we could!.
P
 
Namna bora ya haraka ya kuokoa abiria waliopata shida ilikuwa ni kwa divers kuzamia majini haraka, kwa sababu ile ndege ilishaanza kuingia maji...

Hizi mambo za sijui tungekuwa na helicopter au cranes za kunyanyua ile ndege zingechelewa kwa sababu lazima kungea zwa kwanza kufanya impact assessment ya ajali na mlolongo mrefuuuu...
Acha upuuzi .Ingenyanyuliwa ndani ya saa moja maji yangetoka kungekuwa na vifo vichache
 
Kawaida haukurupuki tu kununua aerial cranes. Hivi ni vitu reaserch based, vinanunuliwa baada ya kujiridhisha kama vinafaa au ni upotezaji tu wa pesa za walipa kodi.

Unaweza kununua kifaaa ghali cha mabilioni ya pesa halafu ajali kama hiyo ya Bukoba ikatokea baada ya miaka 40 ijayo, kifaa kikapata kutu na pesa ikawa imepotea bure tu.
 
Kwenye ajali ya ndege crane inakuja kutoa ndege tu, lakini watu wanatakiwa kuwa walishatoka kitambo m kama cabin crew walifanya kazi yao.

Kero yangu hii ni JF lakini kwenye dunia halisi ningekuwa kiongozi kwa sababu umeamua kupotosha chizi kama mleta mada ungesubiri subiri mziki wangu.

That is to say ningekuwa na madaraka legally na kwa wanasheria wao wa kuwatetea watu kama Zitto Kabwe, Maria Sarungi na Fatma Karume: wasingechomoka ningehakikisha hao watu wanaonja lupango. Don’t worry they are compromised so ni sahihi kuwatesa hasa huyu Zitto Kabwe (thenge kweli) hili jitu.
 
We huna akili? Mimi CcM? Mada hapa ni kuwa na helkopta za kunyanyua vitu vizito.
Wewe una post habari za ndege ya malaysia. Kuna uhusiano na namna ndege ya malaysia ma hii yetu zilivyoanguka? Ziko relevant?
Wewe mwenye akili zingekutosha kufikiria kwamba huo ni mfano tu. Cha kufikiria haraka ni ukweli kuwa pale airport jeshi la maji lingekuwepo tu, wawe ni vifaa vyao vya kawaida tu.

Kununua equipment ghali halafu ikawa na umuhimu wa kutumika baada ya miaka 30 au 40 ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi. Kumbuka kama taifa tuna majukumu mengi sana, afya, elimu, wazee, maji na mambo mengi yenye kuhitaji matumizi mazuri ya pesa.

Liimarishwe jeshi la wanamaji (navy) na vifaa vyake vyote kama sehemu ya uwanja wa ndege wa kisasa wa mji unaokuwa.

Jifunze kutumia lugha za kistaarabu, punguza ujuaji wa mitandaoni hiyo ni sifa ya vijana wadogo wanaoingia humu miaka ya sasa.
 
Back
Top Bottom