Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Mkuu Kamanda Asiyechoka , tufike mahali tuache kulalamika, what was done in Mwanza, its the best we could do!. Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka Urusi na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.

Kwa vile ile ni ajali, time taken toka zilipo hadi aneo la tukio ni more than 30 min flytime, hivyo zingefika na kuipoa ndege with all dead inside, kwasababu ndege ilipoanguka within minutes ilianza kujaa maji na hata kama isingekuwa imetoboka, then they would have died by suffocation kwa kukosa hewa ya oksigen.

Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
Hakuna cha shamba darasa wala sijui kosa halitorudiwa
Haya mambo kila mara yanajirudia tu
Ukweli utabaki,kuwa bongo majanga hatuwezi kukabiliana nayo period
Majanga yakitokea hesabu kufa tu

Ova
 
Zipo zilinunuliwa kwa kazi maalum na sio kuzimia moto au uokozi!.

Maadam zipo na kile kilichofanya ziwepo sasa hakipo tena, its high time tubadili matumizi ya hayo makitu, badala ya kuiweka tuu midude inakaabure na kuanza kuoza, bora ibadilishiwe matumizi.
P
Kazi maalum zipi hizo, au siku itoke top kiongozi wakidumbikia ziwani
Ndiyo ikaokoe

Ova
 
Wapuuzi kama huyu mleta mada unapeleka lupango tu kama una mambo ya maana ya kufanya.

Ujinga mtupu ata sijui unaanzia kuujibu wapi.

Such an ignorant society
Anadhani aerial cranes zinaokotwa huko zinapotengenezwa, hajui kuna michakato ya bajeti inajumuishwa katika manunuzi.

Hajui kuwa hizi taasisi hukaa kila baada ya muda fulani na kujifanyia tathmini za kina. Ununue aerial crane leo halafu ajali isitokee kwa miaka 35 haoni kuwa hiyo ni hasara ya pesa za taifa.
 
Divers huko BK watoke wapi?. Divers wako Yatch Club na Zanzibar na sio BK, tukubali tukatae what we did is the best we could!.
P
Mafia yenyewe kuna madivers wengi tu mbona ...achana na hao wa yatch club
Wami yenyewe kuna madivers asilia mbona,matukio mengi pale wao ndy huwa mstari wa mbele kusaidia
Labda nyie kwenye taasisi zenu ndy hamna madivers
Kwanza vikosi vyenu vya uokoaji kuogelea hawajui,first aid hawajui kutoa,CPR Hawajui mambo kibao hawajui

Ova
 
Divers huko BK watoke wapi?. Divers wako Yatch Club na Zanzibar na sio BK, tukubali tukatae what we did is the best we could!.
P

Na hapo ndipo tunapokwama, sababu sisi ni moja ya nchi iliyo sehemu ya ziwa kubwa kuliko yote Afrika, na ndani yake kuna shughuli za kiuchukuzi zinafanyika lakini hatuna coastal guards au kitengo cha dharura cha namna hiyo...

Naona tabu tuliyopata wakati wa ajali ya MV Bukoba kwa kuomba divers toka SA naona haikutufunza kama kawaida yetu...
 
Acha upuuzi .Ingenyanyuliwa ndani ya saa moja maji yangetoka kungekuwa na vifo vichache

Inaonesha huna knowledge ya engineering, unawaza kama layman tu...

Mtu anayewaza kwamba ndege ile ingenyanyuliwa chap, hana tofauti na yule aliyeamua kuanza kuivuta pasipo kujua hali ya watu waliopo ndani ikoje...
 
Anadhani aerial cranes zinaokotwa huko zinapotengenezwa, hajui kuna michakato ya bajeti inajumuishwa katika manunuzi.
K
Hajui kuwa hizi taasisi hukaa kila baada ya muda fulani na kujifanyia tathmini za kina. Ununue aerial crane leo halafu ajali isitokee kwa miaka 35 haoni kuwa hiyo ni hasara ya pesa za taifa.
That’s not even its purpose in emergency settings.

Usiangaike na kila kiazi kwenye hili jukwaa.

Hizo dhana zinaweza kuwa na umuhimu kwenye kutoa wreckage, ila sio kuokoa maisha.

Wabongo awataki kuambiwa ukweli ila kwa wabeba maboksi iwe ofosini au warehouse wote wanajua fire drills, emergency ikitokea kutokana na majengo yao kila mtu anajua cha kufanya kabla ya msaada wa nje aufika.

Hayo ndio matakwa ya cabin crews pia, wangefanya wanayotakiwq kufanya on time ivyo vifo visingetokea.

Good morning
 
Inaonesha huna knowledge ya engineering, unawaza kama layman tu...

Mtu anayewaza kwamba ndege ile ingenyanyuliwa chap, hana tofauti na yule aliyeamua kuanza kuivuta pasipo kujua hali ya watu waliopo ndani ikoje...
Nyie si ndio mliitoboa Mv Bukoba ili kuchomoa watu mainjinia mavi
 
Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?

Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.

Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.

View attachment 2411897
Haya ndiyo mambo unapaswa kuleta JF!Siyo vile unavyoviandikaga.Umebadilika leo.Safi!
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P

We mtu mzima ila ni mjinga.

Umewahi kusikia habari za Flight 1549 au Miracle of Hudson?

Nchini US, 2009 Ndege ilianguka kwenye maji ikiwa na abiria 155. Na wote waliokolewa wakiwa hai.

Ukisoma story za hiyo ndege utaelewa nini maana ya uwajibikaji.

Siyo upumbavu tunaokaa tunatetea humu bongo.
 
Kwa vile ile ni ajali, time taken toka zilipo hadi aneo la tukio ni more than 30 min flytime, hivyo zingefika na kuipoa ndege with all dead inside, kwasababu ndege ilipoanguka within minutes ilianza kujaa maji na hata kama isingekuwa imetoboka, then they would have died by suffocation kwa kukosa hewa ya oksigen.
Siasa na taaluma ni maji na mafuta mkuu.

Kabisa, unaandika hivyo kutetea ujinga?

Kwahiyo unamaanisha nini kusema zipo mahali zinasubiritukio?
MV Spice, hatukuziona, sijui nini tena pale Nungwi kimya, moto Mt Kilimanjaro mkasemaje?

Itoe hata mali za watu basi ikiwapona hiyo ndege!

Patheticians
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P
Appreciate my foot! Angekuepo mtoto wa mama au Msoga humo ndani ya ndege, Nina ukika kungekua na rapid respond.
 
nilisema
Sijasema zinangoja ajali, nimesema zilinunuliwa kwa madhumuni kusudiwa na zipo zimepaki tuu mahali zikisubiria hayo malengo kusudiwa na sio kusubiria ajali zikafanye uokozi!.

Cha maana ni chopa hizi zipo tunazo, sasa swalo ni zilinuniliwa lini, wapi kwa kiasi gani, zilinunuliwa za nini kufanya kazi gani, na sasa ziko wapi, zimepaki wapi, zikifanya nini?, kwanini itokee ajali, Watanzania wenzetu wapoteze maisha while vifaa hivyo vipo?, that is not for me to say!.
P
Sawa bwana Pisikali umeeleweka
 
We have incompetent bunch of leaders hili taifa haliwezi songa mbele hata siku moja. Magufuli tried alot kuonesha dira ila kwa sasa tumerudi kwenye hopelessness.
 
Back
Top Bottom