Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Tunatakiwa kwa mfano tupate rescue fast ships na rescue boats walau kila ziwa ziwepo ship 4 na boat 4. Baharini ziwepo hata tano hasa kule ambapo abiria kwanza husafiria sana
IMG_0870.jpg

Meli ya uokozi

IMG_0871.jpg

Boti ya uokozi
 
Lakini pia kitengo cha uokozi kimelala hakiko standby muda wote yaani wanatakiwa kua macho hasa kwenye viwanja vya ndege muda wote wawepo wa kutosha sio ndege inatua wao wamelala makwao, airports zote masaa 24 wanatakiwa kuwepo
 
Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo?

Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu.

Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.

View attachment 2411897
Na magari ya washawasha kuwadhibiti wapinzani baada ya kuwaibia kura -shame CCM.
1668066920518.png
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P
Kwanini hizo 4 moja isiwe kanda ya ziwa.
 
Kwhy mkuu yupi ana afadhali kwenye ubongo Kati ya hao wawili😂😂Midume inahangaika kutoa ghofu ndani ya maji badala ya kuokoa uhai wa watu Kwanza...

Kwa mtazamo wangu wote naona ni sawa tu
 
Mkuu Kamanda Asiyechoka , tufike mahali tuache kulalamika, what was done in Mwanza, its the best we could do!. Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka Urusi na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.

Kwa vile ile ni ajali, time taken toka zilipo hadi aneo la tukio ni more than 30 min flytime, hivyo zingefika na kuipoa ndege with all dead inside, kwasababu ndege ilipoanguka within minutes ilianza kujaa maji na hata kama isingekuwa imetoboka, then they would have died by suffocation kwa kukosa hewa ya oksigen.

Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
Pascal Mayalla mkuu ila hatuonekani kujifunza, Angalia ajali zote kubwa kuanzia mv bukoba, mv spice icelander ile iliyozama zanzibar, na hata hii ya ndege. Acha watu walalamike uzembe mkubwa umeonekana kwenye zzoezi la uokoaji acha kabisa kutetea.
 
Mashangingi yanakula takribani 558B kila mwaka!! Achilia mbali running cost(Wese+Maintanances).
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P
Wewe na Msigwa Nani Yuko serikalini? Msigwa anasema hatuna hata moja, wewe unasema tunazo 4. Kama ni kweli zipo 4 nini Nia ya Msigwa kusema hatuna hata moja? Wavuvi wametumia zaidi ya SAA 2 wala siyo nusu SAA wala SAA 1 kama unavyosema. Kama helcopta iko Mwanza inatumia Muda gani kwenda Bukoba?
 
Wewe na Msigwa Nani Yuko serikalini?
Mkuu Bila bila, mimi kwa sasa siko serikalini ila zamani niliingia serikalini kabla yake, i
Msigwa anasema hatuna hata moja, wewe unasema tunazo 4. Kama ni kweli zipo 4 nini Nia ya Msigwa kusema hatuna hata moja?
Serikali ni mdude mkubwa sana, hakuna mtu yoyote anayeijua kila kitu kuhusu serikali, mtu unavijua tuu vile vinavyokuhusu, hivyo mimi nilikoingilia serikali siko alikoingilia yeye, hivyo usikute hata yeye hajui kuwa tunazo, ila kama anaingia jf, akiingia na kutusoma humu kaka zake, sasa ndio na yeye atajua tunazo!. Kinachofanywa zisitajwe kwasababu hazikuletwa kwa madhumuni ya rescue oparations na uokoaji!, hizo kitu tunazo zipo tunazo ziko 4, zimeletwa kwa kazi maalum na zipo tuu zimepaki pale mahali zikisubiria kilichofanywa ziletwe kitokee!.

Amini usiamini, kule mahali, angekuwepo yule Msukuma!, zingetolewa and within 1 hour ndege ingecholopolewa!, hivi ile paredi ya miaka 60 ya uhuru, hamkuiangalia?, mbona zilikuwepo!.
Kuna vitu vingine jameni ni siri za usalama wa taifa na nchi, hatuwezi kusema humu!, hizo chopa tunazo 4, moja ya 4 hizo ndio baba lao!, yenyewe haikuonyeshwa for diplomatic reasons kwasababu jeshi letu tunasaidiwa sana na Waingereza na vifaa vingi tumenunua BAE, huo mdude funga kazi tulipewa na taifa fulani rafiki ambalo mabeberu hawalipendi!.

Mfano hata bunduki za AK- 47, tunao mzigo wa kutosha tuu!, tulipewa na rafiki yetu fulani!, tumezisunda tuu mahali tukisubiria kiwake, tunamchakaza adui fasta!, hatuwezi kusema tunazo wala kuzionyesha kwasababu mabeberu wamezipiga marufuku AK 47!, hata mimi nimesema humu kwa sababu mabeberu hawajui Kiswahili!.

Baada ya vita vya Kagera na daraja kuvunjwa na yule nduli, jeshi letu lilijikuta linakwama kupeleka vifaa front, askari wetu wakalazimika kuvuka mtu kwa kuzama kwenye maji usiku kucha, kufika ngambo wakajikuta wana kwama ku advance hadi daraja la muda lilipotengenezwa, sasa from that lesson, ukaletwa mdude wa kufa mtu wa kubeba vifaru!, mtu akituchokoza, hata akivunja daraja, tunabeba vifaru, tunambwagia mlangoni kwake!.

Kuna siku niliwahi kuzungumza kuhusu ukakamavu jeshini, sio kila kabila ni la kupewa u CDF kwasababu tuu ya seniority!. Blaza alipoingia, CDF aliyepo aliishafikia umri wa kustaafu!, Blaza akamuongezea muda kidogo ili atafute jembe kazi!, likapatikana lile jembe kazi la Ngw'anangosha toka pale Masanza One au Masanza Kona Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Amini nakuambia CDF angekuwa ni yule Msukuma, lile likitu lingetolewa!.
Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa mtangamano wa nchi za Afrika Mashariki kuwa nchi moja, hivyo hatuna tena jirani yoyote ambaye ni threat to our national security, yale mavifaa bab kubwa ambayo tumeyasunda pale mahali chini ya ule mlima, tuyatoe yawe yanatumika for civilian humanitarians rescue missions maana hatuna tena any combat operations!, unadhani hata madata watu wote wa serikalini wanayajua?, mi mwenyewe nimeyajua kwa sababu mimi licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari, pia ni mjeda!.

P
 
Mimi siko serikalini ili niliingia serikalini kabla yake, na huko nilikoingilia siko alikoingilia, serikali ni kubwa sana, hakuna yeyote anayejua kila kitu, hivyo usikute hata yeye hajui kuwa tunazo, kwasababu hazikuletwa kwa madhumini ya uokoaji!, zipo tunazo 4, zimepaki tuu mahali zikisubiria kilichofanywa ziletwe kitokee!.

Amini usiamini, kule mahali, angekuwepo yule Msukuma!, zingetolewa and within 1 hour ndege ingecholopolewa!, hivi ile paredi ya miaka 60 ya uhuru, hamkuiangalia?, mbona zilikuwepo!.
P
Kwa maana hiyo ukweli unao wewe. Msigwa kama msemaji wa serikali katulisha matango pori?
 
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.

Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, wao wasinge vunja vioo, na kuokoa kwa mitumbwi, wao wangeicholopoa ndege nzima nzima fasta but will all dead bodies!, kwasababu it takes just 4 minutes kumpoteza binadamu kwa kukosa hewa!.

Kilichofanyika is the best we could do!, lets be appreciative!.
P

ilichukua muda gani ndege kuzama na watu kufa?.

Wajina wake Majaliwa, alifika mpaka cockpit na kuwasiliana na pilot wakiwa wazima, dogo akapiga mbizi upande wa pili, unafikiri ilichukua muda gani kwa hizo harakati zote ndani ya maji.

Naamini ilichukua muda sana hata 1hr kwa maji kujaa kiasi cha kuua watu au hata watu kukosa hewa.

kitalaam kwa sasa ni 30min mtu anaweza kusubiri msaada akiwa na dharula deep sea, ndio maana kwenye STWC95 inasema kila crew kwenye kazi za meli lazima awe na uwezo wa kusurvive atleast 30min maana kwa technolojia ya sasa wanaamini anaweza kupata msaada sio kuja kutazamwa anavyohangaika.

Kitaalam ziwani kunapaswa kuwepo na standby rescue team yenye uwezo wa kufika kila point in 30min.
 
Back
Top Bottom