Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Vx moja inagharim mil 300. Unanunua magari zaidi ya 400 kila mwaka unaacha kununua hata helkopta ya kunyanyua mizigo?Hii nchi Kwa muda mrefu Sasa inajiongoza, uzuri wananchi siku hizi tumeacha uvivu tunapiga.
Mkuu Kamanda Asiyechoka , tufike mahali tuache kulalamika, what was done in Mwanza, its the best we could do!. Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka Urusi na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne .Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini , kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.View attachment 2411897
Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.Mkuu P tusipende kutetea uzembe. Kama zipo mwanza. Zilipaswa kwenda kunyanyua tu hata kama ni baada ya saa moja.
Ajali imetokea asubuhi, watu wa
Mkuu P tukinunua chopa kwa ajili ya vita haziwezi kutumika kwenye majanga?Ule uokozi umefanywa with an hour!. Hizo makitu Tanzania tunazo 4!, tatizo ni mahali zilipopaki ziko standby kwa shughuli kusudiwa, na sio kwa ajili ya uokozi!.
Naendelea kusisitiza hii ni ajali, hata ingetokea US wenye everthing, pia wasinge vuja vioo, wangeicholopoa ndege nzima nzima but will all dead bodies!.
Kilichofanyika is the best we could do!.
P
Infact mimi kabla ya kuwa mwandishi wa habari, nilikuwa mjeda pale Airwing, ndio maana najua hizo makitu tuñazo 4!.Mkuu P tukinunua chopa kwa ajili ya vita haziwezi kutumika kwenye majanga?
Wewe Paskali, naona unajishusha kwa kutetea uozo. Mwalimu alisema kupanga ni kuchagua.Maadam tukio limetokea, kwa ajali na dharura, hilo sasa ndio shamba darasa letu kuwa more well disaster preparedness tutajiandaa kikamilìfu for next time.
Tupunguze kulalamika, tuwe more appreciative kwa kilichofanyika!.
P
Umesema zilinunuliwa wakati wa Mkapa. Ulikuwa bado mjeda?Infact mimi kabla ya kuwa mwandishi wa habari, nilikuwa mjeda pale Airwing, ndio maana najua hizo makitu tuñazo 4!.
Zinaweza kutumika tatizo ni zilipo na toka authorization time ya command, kutoka zilipo hadi
nilisemaWewe Paskali, naona unajishusha kwa kutetea uozo. Mwalimu alisema kupanga ni kuchagua. Unaposema kuwa hizo chopper zipo sijui nne na zinangoja ajali zitumike. Ajali si ndiyo kama hiyo. Hebu nikuulize, kama zipo kwa nini angalau moja au mbili zisiwekwe mahali ambapo ni rahisi kuwa "deployed" kwa haraka? Kwa nini moja isiwe kama Mwanza hivi! Wahusika hawajui kama ajali inwezatokea popote, kama wanajuwa kwa nini wameziweka pembeni mwa nchi, au ziko huko zikingoja ajali zitokee kwa wakubwa ndiyo zionekane.
Sijasema zinangoja ajali, nimesema zilinunuliwa kwa madhumuni kusudiwa na zipo zimepaki tuu mahali zikisubiria hayo malengo kusudiwa na sio kusubiria ajali zikafanye uokozi!.Kwa taarifa yako, hizo chopa za kufanya hivyo tunazo 4, zilinunuliwa kipindi cha Mkapa kutoka BAE, na zimepaki mahali kusubiria tukio kusudiwa kwa matumizi kusudiwa.
Mkuu kuwa serious hata kidogo.Mkuu P tusipende kutetea uzembe. Kama zipo mwanza. Zilipaswa kwenda kunyanyua tu hata kama ni baada ya saa moja.
.
Umesema zilinunuliwa wakati wa Mkapa. Ulikuwa bado mjeda?
Kuruhusu ndege kwenda kufanya maokozi ni amri inayochukua masaa kwenda eneo la tukio?
Anayejua tuna airbase wapi na zilipaswa kuwa wapi is neither me or you to say!, tena hata ile tuu kusema tuna aibase wapi ni kosa!.Tuna airbase pale Mwanza, ilipaswa iwepo moja.
Mkuu zile chopa tulizonunua zinaweza kubeba tani 18 na ushee?nilisema
Sijasema zinangoja ajali, nimesema zilinunuliwa kwa madhumuni kusudiwa na zipo zimepaki tuu mahali zikisubiria hayo malengo kusudiwa na sio kusubiria ajali zikafanye uokozi!.
Cha maana ni chopa hizi zipo
MkukiMkuu Kamanda Asiyechoka , tufike mahali
Dunia ya leo sio kama miaka ya vita vya Kagera. Leo hii air base za mataifa kibao zipo mitandaoni hadi coordinates za eneo husika unawekewa.Once mjeda always mjeda. Mtu kuwa mjeda unafanyiwa mafunzo ya kijeda ukifuzu ndipo unakiwa mjeda, hata uliacha jeshi, ukifukizwa, ukiachishwa, bado inabaki kuwa mjeda.
Amri za kijeda takes few minutes, ndio maana zilipo watu wapo standby kwa majukumu kusudiwa!. Ajali ya ndege sio jukumu kusudiwa!.
Anayejua tuna airbase wapi na zilipaswa kuwa wapi is neither me or you to say!, tena hata ile tuu kusema tuna aibase wapi ni kosa!.
P