Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

Zipo wapi?
Na kwa nini zisibebe maji kuzima kilimanjaro?!
Mkuu Joni Mtembezi wa alama nyeusi, Black Label, unataka nikutajie mahali kwenye sensitive military installations humu?, mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari, pia ni mjeda, hivyo the national security act hairuhusu na media act pia hairuhusu!.
Hazikuletwa kwa ajili ya kubebea maji ya kuzimia moto!.
P
 
Kwa maana hiyo ukweli unao wewe. Msigwa kama msemaji wa serikali katulisha matango pori?
No, huyu ni msemaji rasmi wa serikali, kauli yake ndio kauli ya serikali, na huo ndio ukweli kuwa tuna chopa za abiria na sio za rescue operations!, na hata hizo chopa 4 mimi ninazosema tunazo, ziku ile zinaonyeshwa na kutangaziwa zinauwezo wa kubeba hata kifaru, alikuwepo, kwa vile hizi chopa 4 ni za kazi maalum na sio rescue operation, then he is right!, ila amini nakuambia, angekuwepo yule Ngosha!, huo mdude ungechopolewa ndani ya dakika sifuri!.
P
 
Hapa umeniacha mkuu, hio shughuli kusudiwa ndio shughuli gani km sio uokozi?
Zililetwa kwa madhumuni fulani na sio uokozi!. Hoja ya msingi hapa, kwa vile hizo chopa 4 zenye uwezo wa kuicholopoa ile ndege ndani ya dakika sifuri, tunazo, siku zote ziko standby kwa shughuli kusudiwa!, na tangu zimenunuliwa hiyo shughuli kusudiwa haikuwahi kutokea!, kwanini zisitumike kuokoa roho na maisha ya watu?, that is not for me to aswer, na kumlaumu Msingwa, ni kumuonea bure!.
P
 
Kwanini hizo 4 moja isiwe kanda ya ziwa.
This is no for me to answer!, hizo kitu 4 zimeletwa kwa kazi maalum, zimepaki eneo maalum zikiwa standby kusubiria hiyo shughuli maalum, shughuli maalum ikitokea, zinafika aneo la tukio ndani ya dakika sifuri, kwa vile shughuli yake sio uokozi, then acheni ziendelee kukaa standby kusubiria shughuli yake!.
P
 
huyu grayson ndiye aliyekuwa anakiongoza kikundi kilichokuwa kinajulikana kama kikosi cha vijana wazalendo wa TANZANIA
Kikundi hiki kilikuwa kinafanya kazi za TISS nje ya mfumo halali. kazi yao kubwa ilikuwa ni kuua, kutesa na kuteka wale wote waliokuwa wanampinga au kutoa mawazo mbadala na yale ya JPM.
Ni kutoka katika kikundi hiki ndipo walipoibuka wakina musiba na wapuuzi wengine waliounga mkono upuuzi wa kiongozi wa wakati ule
watu hawa walikwenda mbali zaidi na kudai raisi magufuli aongezewe muda ili amalizie miradi aliyoianza. yaani atawale maisha
hata bwana Abasi anaingia humu.
mipango yote ya kumpiga risasi TUNDU LISU na kumteka Ben Sanane ilipangwa na kikundi hiki cha Grayson msigwa na wenzake
aliyekuja kukisambaratisha kidogo alikuwa DIWANI ATHUMAN baada ya kuteuliwa kuwa DG-TISS
Asante mungu kwa kila jambo
 
Sidhani kama tunatarajia kuwa na vita hivi karibuni.

Sasa kama kuna "kazi maalum" zaidi ya kuokoa watu kwenye mazingira yenye uhitaji kama yale au kuzima moto mlima kilimanjaro unaoingiza mapato na kuleta ajira then kuna maana iliyofichika sana ya neno "kazi maalum"
 
Nimegoogle search hiyo picha yako, nikasoma aina ya helicopter na payload yale ukijumlisha mafuta iliyobeba ni 20T max
Mkuu HIMARS, watu humu mtaniponza nianze kutoa siri za nchi!, huo mdude wetu ni wa kubebea hadi vifaru, itakuwa ka ATR!.
P
 
Kiukweli mambo mengine ni viongozi wetu kujiongeza!, enzi za yule CDF Ngosha, kwa vile hatuko vitani, vijana wake walikuwa deployed kwenye issues kibao!, kununua na kusafirisha korosho, ajali ya kivuko Ukerewe, etc.
P
 
Huenda una point ila kama zipo kwanini hazikuja kuokoa hata baada ya lisaa?
Hata kama ngege ilijaa maji ndani ya dakika kumi bado tunapaswa kuona juhudi za kuokoa Maisha yao hata kama watakutwa wamefariki.
Hapo bado saana kunishawishi yaani tunazo helkopter za uokozi halafu watu wavute ndege kwa kamba masaa yote hayo? Basi ule ni uhujumu bila chenga.
 
Msigwa ameeleza vizuri kabisa hili jambo kuwa hatuna chopa za uokozi!, ninachosema mimi, kwa vile mimi pia ni mjeda, najua kupitia ujeda, tunazo chopa 4 ambazo sio za uokozi, bali ni kazi maalum, lakini zina uwezo wa kuicholopoa hiyo ndege ndani ya dakika sifuri!. Swali ni kam,a zipo, kwa nini hazikutumika?, this no not for me to answer, na kumlaumu msemaji ni kumuonea bure maana sii kila mtu anajua tunazo!.
P
 
Kama hazipo kwa lengo la uokozi basi tunahitaji za uokozi.
Sasa ni za nini? Hivi kweli angekuwa rais wa nchi anazama zisingetumika? Huu ni ubaguzi mkubwa sana.
 
Dah na hapo ndipo nashangaa Tanzania yangu kwamba Kuna nini cha maana kwenye vita kama si kuokoa Maisha ya raia? Je kwa nini zisitumike kwenye majanga ambayo pia yanagharimu Maisha? Angekuwa anazama mkuu wa nchi zisingetumika? Sielewi kabisa mkuu.
 
Weee...! At ingekua USA, wangekufa! No.
Yaani itokee kwenye maji kando kando kama hii, mita 100 kutoka uwanja wa ndege mmojawapo. Tena pawe na wavuvi wana boti zao zile. Sijui tusubiri black box itasemaje kwenye uchunguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…